Mwenza bora anahitajika

Mama mbona sifa nyingi na masharti kama vile kuna maelekezo ya mganga wa kienyeji
Haya mambo ya nyota yatawacost
 
Mama mbona sifa nyingi na masharti kama vile kuna maelekezo ya mganga wa kienyeji
Haya mambo ya nyota yatawacost
Ahahahaha sio nyota ndugu yangu. Wala sifatiliagi icho kitu.
 
Vigezo vipo karibu tuyajenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masharti yote hayo kama unanunua gari ingia mtaani umtafute

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa, mkuu niko tayari hata kuhairisha huu ujana lengo litimie, vipi unafiti vigezo vyangapi vya pujo ili nikupimie😀😀
Ahahahaha nimeona watu wanaleta shuhuda sana. Asa na mie nikaamue nilete vigezo ili narudi na shuhuda kama wao. Cha kushangaza eti hawataki vigezo vyangu. Eti ni vya ajabu na virefu. Hii haki kweli?
 
Ndiyo mkuu. Ukweli ni mzuri sana kwa kumwambia mtu. Usiogope kumwambia mtu ukweli. Wewe mfate tu na elezea hisia zako
 
Ahahahaha nimeona watu wanaleta shuhuda sana. Asa na mie nikaamue nilete vigezo ili narudi na shuhuda kama wao. Cha kushangaza eti hawataki vigezo vyangu. Eti ni vya ajabu na virefu. Hii haki kweli?
Kusema ule ukweli, hivo vigezo ilibidi vitumike wote tukiwa mbinguni😀, ila hapa duniani mmh nimecheka eti ndevu za O, hadi blood group dah, ila kuna wanaofit watakujaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…