Mwenza kilaza.

Na huyu jilani yangu hapa ni kilaza ambae ana elimu y hapa na pale kisha tanganyika mabegani mwake kazi tunayo.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nyani Ngabu mpaka umeamua kuyaleta hapa seems she was dumb AF 😅😅, alafu ukute ni mrembo balaa.
 
Eti lile bwege nimecheka sana ila sijaelewa muhuni anaua familia kwa sababu ya hizi nyumba au magari ambayo ukiamua kusota tena unapata...
Kaua kisa mali...
Aina hio ya watu ndio wakipata madaraka anaweza kuua nchi nzima kisa mali...
 
Nimekuelewa sana kwa post yako hii , mpumbavu hafai
 
Nimekuelewa sana kwa post yako hii , mpumbavu hafai
 
Mtoe katika hali ya ukilaza na kuwa mwerefu.
 
Hivi kilaza na overthinker bora yupi? Unamkwaza mtu anakuja ku react baada ya siku 4. Unashangaa mtu ghafla hapokei simu wala kujibu msg unakuja kugundua ulimkwaza siku 3 zilizopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…