PreGE2025 Mwenza wa kijani ana jambo lake baada ya uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimeanza kupata picha ya kiini cha tatizo la mtanziko wa kisiasa uliopo nchini kwa sasa.
We ulikuwa hujui kumbe?

Yule ndo kiini cha tatizo. Hataki Reforms maana he is now the expected next to the throne.

Na anajisimika kweli. Kwenye Chama ndo Mtendaji Mkuu na Serikalini ndo anatarajiwa kuwa Msaidizi Mkuu wa Mtawala.

Washauri wake wa karibu anaowatumia washurutishe kwenye Cabinet kusiwe na Reforms ni Jenista Mhagama na Damas Ndumbaro.
 
Yote tisa lakini kumi inabaki kwa The Big Boss ambaye kwa mujibu wa Katiba na taratibu nyingine zootee tena za pande zote za Chamani na Serikali yeye ndiye mwenye kuhold four aces kwenye mikono yake!
Atakalo ndilo litakalo kuwa !
Iko vile tangu Enzi za Nyerere !
Mengine ni danadana tu za mpirani !

Kipindi kile cha Rasimu ya Warioba kama Kikwete angeamua ile Katiba ipatikane hakuna ambaye angekwamisha. !
Mengine yote ni Abracadabra tu za kununua muda na mambo kama hayo !
Ni mtazamo wangu alakini labda sielewi mambo vizuri 😳 !
🤣🤣🤣 lakini wapii !! Ila mimi huwa sipendagi kudanganyika !
Freedom of expression Bandugu !
 
Kama yeye alimfanyia hivyo dhalim basi naye afanyiwe hivyo hivyo
 
Magufuli aliamini maadui zake ni Chadema hasa Tundu Lissu kumbe maadui zake ni anakula nao hapo hapo mezani kila siku.

Mama yenu nae kaingia mkenge ule ule.
 
Magufuli aliamini maadui zake ni Chadema hasa Tundu Lissu kumbe maadui zake ni anakula nao hapo hapo mezani kila siku.

Mama yenu nae kaingia mkenge ule ule.
Mama anachomoa,,,,kama kuna watu wanafikiria yale ya 2021 wanapoteza muda wao , tena hayo wanayotaka yanaweza kuwarudia wao
 
Msonga Gang mnataka nafasi zote mchukue nyie!
Acheni kiherehere hili taifa si lenu peke yenu
Maembe alikuwa mwenzenu lkn mkaamua kumtoa kafara
 
Msonga bhana, wekeni ushahidi hapa watu waone, kinyume na hapo siasa za majitaka zinawasumbueni.
 
Reactions: Ame
Aishiye kwa upanga .....
Raisi wa Marekani George Walker Bush, kaua watu sana Afghanistan, Iraq, hadi leo hii anadunda,
Idd Amini na Nyerere wamesababisha watu kufa 1977-1978 wote wawili walikufa natural death,
Hii aishie kwa upanga atakufa kwa upanga inafanya kazi kweli kweli au ni maneno tu?
Saa nyingine unaweza kutumiwa na msonga kuchafua wengine bila ya wewe kujua kuwa unatumiwa na Msonga.
Unasema sana, maneno matupu bila ya kuweka Ushahidi hapa, utaaminikaje na watu?
 
Magufuli aliamini maadui zake ni Chadema hasa Tundu Lissu kumbe maadui zake ni anakula nao hapo hapo mezani kila siku.

Mama yenu nae kaingia mkenge ule ule.
Deep information, Delila a.k.a Yezebeli.
 

Attachments

  • Messenger_creation_7E3BB379-B7E6-41EB-B00E-AE82C4EB21A8.jpeg
    62 KB · Views: 23

Kuwepo kwa watu ambao wanatoboa maisha bila kufanya kazi kwa bidii haina maana kwamba kufanya kazi kwa bidii siyo sifa mojawapo kuu jumuishi kwa watu wengi waliotoboa maisha! Karma!
 
Good!
Unajua nimewaza sana mie!

Ukisikia kauli za wazee kama Warioba, Butiku, Ulimwengu pamoja na viongozi wa kimadhehebu namna wanavyoshauri watawala warudi kwenye mstari kwa kufuata misingi ya haki, lakini utawala wa Samia hausikikii!

Ni nani huyu aliyepo nyuma ya mtanziko huu, ina maana 'Ikulu' nzima imekosa watu wenye busara hadi Serikali izibe masikio kiasi hiki hadi kupelekea usalama na mshikamano kuwekwa rehani?

Kwa maelezo yako nimepata picha sasa!

Vigogo wote wa Ccm wameshindwaje kumdhibiti huyu kiongozi wa kimafia anayetaka kulitia majaribuni taifa letu kwa ajili uchumia tumbo wake?

Sasa Tz tumepatikana na tumekwisha!
 
Kuwepo kwa watu ambao wanatoboa maisha bila kufanya kazi kwa bidii haina maana kwamba kufanya kazi kwa bidii siyo sifa mojawapo kuu jumuishi kwa watu wengi waliotoboa maisha! Karma!
"Asiye fanya kazi asile"
Maadamu anafanya kazi na anafuata kanuni za kiroho anaweza asitumie nguvu nyingi kufananikiwa.
 
Huu Umafia wa uongozi wajuu upo kote duniani. Na hasa nchi za Marekani na Ulaya.

Si maajabu sasa Tanzania kusikika hayo.
 
Nijuacho Mimi kuwa Rais mwenye nia njema ukahujumiwa ni usenge

Unakuwa umetaka wewe according to katiba ya Tanzania

Ukihujumiwa ujue una Vimeo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…