PreGE2025 Mwenza wa kijani ana jambo lake baada ya uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
"Asiye fanya kazi asile"
Maadamu anafanya kazi na anafuata kanuni za kiroho anaweza asitumie nguvu nyingi kufananikiwa.
Nanoga bahebu!

Nadhani hatuelewani....

Kuna mpishano wa kifalsafa...

Mimi naishia hapa ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ
 
Mimi binafsi namwombea Kiongozi wetu Mkuu maisha marefu yenye heri na baraka tele
Ushauri wangu kwake tunamwombea heri tunachangamoto zetu ziko wizara na idara na taasisi mbali mbali zinazoongozwa na wetuele wake wakiwemo mawaziri, makamishina, wenyeviti ama wakurugenzi tunaloomba ni aamsha uwajibikaji kwa hawa wateule ili nao wakikishike wananchi tunahudumiwa kwa wakati iwe idara za misitu , uvuvi , petrol ama popote pale
Tukutane mei mosi , licha ya kuwa wamejitahidi sana tenga muda kumpuzika bado wanaidharau mizizi iliyofanya wafike hapo, wasipoangaliwa vizuri na BOT wataifilisi na hiyo mpya ijayo tena na itakuwa bomu litabomoa uchumi kabisa na kupunguza furaha za wananchi wako kwani wababaishaji wako wengi mno achana hizo top figure si shida kivile ila watendaji hakuna kabisa kwenye taasisi nyingi sana unazoteua na kuapisha
 

Nchi ipo njiani kwenda KUKOMBOKA,wanalana wenye kwa wenyewe sasa.
 
Msonga Gang mnataka nafasi zote mchukue nyie!
Acheni kiherehere hili taifa si lenu peke yenu
Maembe alikuwa mwenzenu lkn mkaamua kumtoa kafara
Duh ๐Ÿ™„ !
Mungu yu pamoja nasi ! Mwenye nia mbaya nasi atadhibitiwa na Mungu mwenye Uwezo Usiowezwa ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ ๐Ÿ™Œ
 
Pona ya mama na Nchi ni Reforms before Election!!
Uwezo wakuliamua hili Mama anao,Na hii ndio itakuwa SIFA kuu atajiwekeea katika kipindi cha utawala wake.
 
Hivi mnawezaje kutumia uhuru wa maoni katika hali hii ya kuvuka mipaka? Hiki ulichokiandika ni kibaya sanaaa sanaa tena sanaa. Please tuache haya mambo.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ˜ฑ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ