Mwenza wa maisha anahitajika aje tujenge maisha

Mwenza wa maisha anahitajika aje tujenge maisha

ANYITIKE JONE

Member
Joined
May 1, 2022
Posts
16
Reaction score
61
Habari ya sikukuu ndugu zangu?

Nimekuja hapa nahitaji mwenza,
mm ni mwanaume umri wangu 36yrs
Dini yangu mkristo
Naishi Mbalizi Mbeya
Kazi nimejiajiri mwenyewe

Mke nimtakae umri 25yrs to 30yrs
Elemu yake at least form four na kuendelea
Asiwe na mtoto
Dini awe mkristo au awe tayari kubadili dini
Kabila sio shida kwani tabia ni tabia tu
Location yoyote ndani au nje ya Tz lkn awe raia wa Tz

Sio kwamba mtaani siwaoni hapana wapo tena wengi sana, kuringana na kukua kwa technology ambayo hutoa wigo mpana wa kukukutanisha na watu tofauti tofauti ndio maana nimefika hapa ili nipate mtu tofauti hasa mwenye nia na uhitaji wa kweli.

Anaweza kuwa dada yako, mdogo wako, ndugu yako yeyote mwenye uhitaji nitumie no yake inbox.

Napatikana kwa mawasiliano email (jkyussa@gmail.com) au tuwasiliane inbox
 
Back
Top Bottom