Mwenza wa maisha (Mume) anahitajika


Mkuu hicho chuo change Manzese kinaitwaje?
 
Ungemuuliza dini yake ,kwani Ukristo na uislam ndio dini pekee? Subiri watakuja wataalam watakujuza aina za dini mbalimbali duniani.
Nakushauri ufanye maamuzi, kuishi bila dini ni hatari,
 

Ushauri mzuri sana huu, Haliu chukua ama acha juu yako
 
Last edited by a moderator:
Engekuwa si dini ungenipata anyway ningefuat hata yako ila naogopa kujazwa itikadi za kuchoma makanisa.
 

Nashukuru kwa ushauri, na kila ninachofanya m/mungu ndio kiongozi wangu, kabla sijaipost hii kamba niliomba m/mungu anisaidie.
 
Nakushauri ufanye maamuzi, kuishi bila dini ni hatari,
Halliu nipo na Mungu tu anatosha kuniweka pema peponi pasipo kupitia dini. nilikuwa na dini nikaamua kuwa huru.
 
mh! mimi nina sifa zote lakini kama unaweza kuwa mke wa pili ni-pm. nasubiria pm yako kwa hamu sana.
 
kila la kheri dada ktk safari yako nakutakia mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…