Mkuu wewe si una 28 [emoji3]Wewe ni mama wa watoto wangapi?
Hapana mkuu, nishavuka boda kitambo tu, sasa nachezea 30+Mkuu wewe si una 28 [emoji3]
Dah kumbe kule ulizingua sio?Hapana mkuu, nishavuka boda kitambo tu, sasa nachezea 30+
Kwa hiyo una 31? [emoji3]Hapana mkuu, nishavuka boda kitambo tu, sasa nachezea 30+
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah kumbe kule ulizingua sio?
Loading...Kwa hiyo una 31? [emoji3]
Mkuu kwa heshima yako ,huyu hakufai waachie akina gudume...Wewe ni mama wa watoto wangapi?
Kila la heri dearMume umri miaka 35 mpaka 45
Awe mkristo
Mfanyakazi au awe na shughuli yoyote ya kipato cha kutosha
Awe mkweli,mwenye mapenz ya kweli kwa mke wake na watoto ikiwa mungu akitujaliwa
Awe mkazi wa dsm,pwan au moro.
Mimi ni mama
Miaka 32
Mkristo
Mjasiriamali...
[emoji15][emoji15]Ati nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeamua tu nisogee mbele maana kuna vinono navikosa
Hilo swali nimeuliza baada ya kusema yeye ni mamaMkuu kwa heshima yako ,huyu hakufai waachie akina gudume...
Ndio hivyo bana[emoji15][emoji15]Ati nini?
Eti kipato cha kutosha, kunguru wewe unacho cha kutosha?Mume umri miaka 35 mpaka 45
Awe mkristo
Mfanyakazi au awe na shughuli yoyote ya kipato cha kutosha
Awe mkweli,mwenye mapenz ya kweli kwa mke wake na watoto ikiwa mungu akitujaliwa
Awe mkazi wa dsm,pwan au moro.
Mimi ni mama
Miaka 32
Mkristo
Mjasiriamali...