Mwenza wa Maisha

Mwenza wa Maisha

True Man11

Member
Joined
Oct 14, 2022
Posts
82
Reaction score
114
Habari za Jioni ndugu zangu wote!

Nimekuja na ID mpya kwa sababu nayotumia nadhani imekuwa maarufu sana hapa na ni ya siku nyingi.

Naanza maisha mapya sasa, nimeshaamua na nimeshamaliza ujana nina miaka 34 sasa, nina mtoto wa kiume miaka 9 sasa, nimekuwa na uzoefu wa familia sababu mimi ni single baba kwa muda wa zaidi ya miaka 6 sasa.

Nahitaji kuingia katika maisha mapya ya mahusiano ya kiutu uzia / Ndoa na kukuza familia.

Natamani saana nipate mwanamke aliye tayrai na future kubwa ya maisha pia aliye tayari kwa aina ya maisha nayotaka, akiwa na mtoto kwangu haina shida, miaka pia sio shida kwangu. awe na mapenzi ya kweli na mwenye kujitambua vizuri, kabila lolote, japo kuna baadhi nitayapa kipaumbele, mimi ni mkristo nasali lutheran, naishi Dar es salaam.

NB: Kwa yeyote atakayesoma hii post basi anaweza kunisaidia kwa njia yoyote hata kuniunganisha na ndugu/jamaa au rafiki yake.

Natanguliza Shukrani zangu saana. karibu PM yangu ipo wazi.

NB: ''kwa asiye serious naomba asi PM''
 
Back
Top Bottom