Mwenzake anajifunika shuka mapema.

du! Tatzo liko kwenye uume basi.kama vp mvizie amelala unyofoe uume wake kwenye boxer gafla! akija kuhamaki umeshauona..
 
ili uweze kuwathamini wazuru utakapokutana nao
inabidi ukutane na wabaya kwanza
 
Nimepokea taarifa toka kwa huyo kaka kuwa uume wake una macho na mdomo ndo maana anaogopa akiuona atamkimbia
 

Ameripoti polisi na kwenye vyombo husika? Manake huko ni kubakwa! Na kwanini mpaka leo yuko nae na asimteme? kwa uelewa wangu mdogo, mapenzi au kupendana kunanogeshwa na tendo la kufanya mapenzi na mkaridhishana, sasa yeye anasema anapenda, anampenda kivipi? Au njaa zake za hela tu?? Kwa tanzania wanaume wenye tabia hiyo ni wachaga (samahani wachaga), lakini habari ndo iyo!
 
ehe he he he he he, wachaga mshapewa huku la kwenu.
Kumbe na mihela yenu yoooote mwabaka, ngoja nijiopolee mnyamwezi full mahaba

 
Bora hata mkurya wao husema, 'rara nikurenge'
kama hujajiandaa mwenyewe akishasema hayo anazama kama nyambizi linalokwepa maadui.
 
Yaan kwa sheria za makosa ya kujamiiana huku tz HUYO ANAKUBAKA
 
kungekua na haki za uke kama zilivo haki za binadamu shost ungekua saivi jela loh!
kwann kuutesa uke wako ivo jamani loh!
mi hata cwezi jamani kweli tuko tofauti saana mana mm navionea huruma sana viungo vyangu so ingekua mm ww ningesha muacha zamani saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
 
Lakini anasema wameshakwisha achana teyari. Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…