Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa kabisa hapo ,,mwenye points 41 ana "0" na mwenye 44 ana iv, sielewi kwa kweli nisaidieni ufafanuzi wakuu
Mwenzetu unaishi wapi wewe? Nakuuliza kwani nakushangaa jinsi unvyoshangaa mambo ya Tanzania na maajabu yake.
Sijaelewa kabisa hapo ,,mwenye points 41 ana "0" na mwenye 44 ana iv, sielewi kwa kweli nisaidieni ufafanuzi wakuu
Sijaelewa kabisa hapo ,,mwenye points 41 ana "0" na mwenye 44 ana iv, sielewi kwa kweli nisaidieni ufafanuzi wakuu
Kawambwa hafai kuwa hata kijakazi wa Mulugo
Kigezo walichotumia mwaka huu ni kuwa endapo mtahiniwa katika masomo aliyodanya ameshindwa kupata japo C moja au D mbili kati ya masomo yote lakini ana pointi 41 au 42 anakuwa amepata division 0 lakini mtahiniwa akiwa amepata japo C moja au D mbili na akawa na pointi 41 au 42 basi huyo atakuwa amepata division IV.
Dah!! Hii ni zaidi ya ajabu mkuu kwamba moja inakuwa kubwa kuliko mbili?????au wametumia mfumo wa gia za gari??? Kwamba moja ndio gia kubwaa?? Nashangaa kwa kweli.