Baba Matatizo
JF-Expert Member
- May 5, 2011
- 334
- 64
Jihusishe na kazi za sulubu baada ya kazi km kufanya mazoezi ya viungo ya kutosha.
Asante kwa ushauri lakini hata mazoezi some time naona kama hayasaidii!Jihusishe na kazi za sulubu baada ya kazi km kufanya mazoezi ya viungo ya kutosha.
Sawa lakini some time nachoka sana!LAKINI WE ACHA TU!Nyie vijana vipi, ukiwa rijali unalalamika jogoo asipowika unakimbilia kwa waganga wa kienyeji.... ungekuwa unaenda kwa machangudoa ndio ningekushauri lakini kwakuwa ni kwa mke wako.... endelea kuburudika bila wasiwasi na wala mkeo hatochoka labda wewe ndo uanze kwenda nje!!
mkeo akiwa MP unafanyaje?

Yeye anakuwa FFU

Asante sana wana JF.Naomba msaada,mwenzenu kila siku lazima nifanye mapenz ndio najisikia vizuri,hii inatokana na nini?Na zipi athar zake kiafya?Mama watoto wangu ni mvumilivu lakini nahisi ipo siku atachoka kuvumilia.Ninapomkosa huwa napiga PUNYETO mpaka bao 2 kwa siku ili kuondoa nyege.NAOMBENI USHAURI MADAKTARI KWANI HATA MIMI SIPENDI HII HALI IENDELEE.naona aibu kila siku!Naomba ushauri!

Nawasilisha mada!