mwenzenu me mgeni!

mwenzenu me mgeni!

Salha

Senior Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
121
Reaction score
2
jamani ndo kwanza naingia humu hata sijui mnafanyaje humu ndani! napenda marafiki pia nikaribisheni mie mgeni
 
jamani ndo kwanza naingia humu hata sijui mnafanyaje humu ndani! napenda marafiki pia nikaribisheni mie mgeni
Karibu kundini dada. Siku zote usinisahau kwa kuwa nimekuwa wa kwanza kukukaribisha. Unatumia kinywaji gani?
 
Karibu kundini dada. Siku zote usinisahau kwa kuwa nimekuwa wa kwanza kukukaribisha. Unatumia kinywaji gani?

Hahahaaaaaaaaa...Umesahau kumwambia kwamba mtu wa kwanza kukukaribisha lazima mbadilishane namba za (SUMU)!
 
Hahahaaaaaaaaa...Umesahau kumwambia kwamba mtu wa kwanza kukukaribisha lazima mbadilishane namba za (SUMU)!
Hahahaha! Nilikuwa nakusubiri umtandikie ule mkeka wako nione riaksheni zake...... Si unajua mambo ya kudumisha yanahitaji uchunguzi wa kina?
 
Karibu Salha hili jina mara ya mwisho kulisikia ilikuwa Namanga kwa mrembo mmoja wa Kisomali.
 
karibu kundini; humu kuna wajuzi wa mambo mengi
 
Karibu kundini dada. Siku zote usinisahau kwa kuwa nimekuwa wa kwanza kukukaribisha. Unatumia kinywaji gani?
Ahsante kaka chrispin me natumia juice ya ukwaju au hata ukipata juice ya embe
 
Ehee karibu sana, nipe simu yako kwa kuniPM nikupe baraka zangu ili uishi na watu vizuri.
 
karibu sana dada, pita ukae, karibu sana
 
:welcome:Karibu, umekuja vizuri kweli kweli, ni mwanzo tu na avater ushatuwekea? Karibu mama :grouphug:
 
Karibu sana mrembo. Inabidi uanzie kukagua stoo kuangalia kama kuna masalia maana sebuleni utajisahau. Chumbani naona kama kuna watu vileee...
 
ahsante AK-47 mie pia mrembo japo si msomali
noted, karibu, juice kwangu zimeisha, zimebaki valuu na konyagi za viroba! utachanganya na nini? castle light au safari?
 
Back
Top Bottom