Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

asia abasi madhara yapo kama ulivyoelezwa hapo juu..Mi najitolea kukusaidia bila malipo yeyote..Kutwa mara tatu
 
Last edited by a moderator:
mishipa itaziba uwe unatumia unajichangamsha mwenyewe
 
The law of use and disuse states that:
"The more you use an organ the more it become stronger and stronger, and the more you disuse an organ the more it become weak and weak finally disappear". Mm nlpumzika tangu mwaka 2004-2012 lakini sikupata madhara tena nlkuwa fit sana kwa kila kitu, lakin hakuna jipya zaidi ya kujichosha tu!
 
Nenda kwa kiongozi wako wa kiroho akuombee ndoto mbaya zisikupate. Ni kwamba unawakimbia watu au wanajua kilichomtoa jamaa yako??
 

Hamna madhara yoyote. Mungu alipomuumba binadamu hakumuumba kwa ajili ya kufanya ngono tu. Mwili wako ni hekalu la Mungu, unapaswa kumtukuza Mungu katika mwili wako. Hakuna madhara yoyote, hata kama ni lifetime, hakuna biological effects yoyote. Getting married is the best thing, if someone cant control him/her self lakini hakuna madhara yoyote. On the contrary your body becomes much active and stronger, if you dont participate in regular sexual activities. Wala usijali kabisa

Binadamu hataishi kwa ngono tu, bali kwa kila neno litokalo kwa Mungu.
 
Hakuna athari.

Ila ugumu kazi sana, mimi kwa upande wangu siwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…