Mwenzenu najuta kumtoa mam'dogo bikra. Nimeoa, ameolewa na baba yangu, lakini bado ananing'an'gania tu. Nifanyeje ili nimuepuke?

Mwenzenu najuta kumtoa mam'dogo bikra. Nimeoa, ameolewa na baba yangu, lakini bado ananing'an'gania tu. Nifanyeje ili nimuepuke?

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
7,799
Reaction score
14,215
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Kisa chenyewe kinaanzia mbali kidogo, hivyo naomba msomaji usome kwa kutulia ili kama una ushauri wowote wa maana, basi uendane similar na kile nilichoandika. Ok Soma sasa hapo chini....

Nikiwa nimeingia katika umri wa kubalehe (18 yrs old), nilijikuta naangukia katika penzi zito na msichana mmoja wa kinyaturu ambae bibi yake alimleta kutoka kwao Singida. Huyu bint alikuwa na umri wa miaka 16, hivyo mimi nilikuwa nimemzidi miaka miwili.

Na kwa vile bint alikuwa mzuri wa sura, mzuri wa umbo (namba 8), sauti nyororo, mweupe na uongeaji wake wa taratibu ulimfanya atakwe na watu wengi mimi nikiwa mmoja wao. Alikuwa ndio kwanza amemaliza darasa la 7 ila alifeli mtihani wa kwenda form 1, hivyo bibi yake akaamua kumleta Dar es salaam (jiji la wajanja enzi hizo) ili kumsaidia kufanya biashara yake ya mama ntilie.

Kama ilivyo kawaida ya mitaa yetu, vijana wakishaona kuna dem mpya na mzuri kahamia maeneo yao, basi watafanya kila liwezekanalo ili kila mtu awe wa kwanza kumiliki chombo. Ama kweli ujana maji ya moto 🤣🤣🤣

Pilika pilika zikawa nyingi mtaani, kina bitozi nyangema, kina 2Pac wa uswazi.. unakuta mtu anabadilisha nguo mara 3 kwa siku ili madem wamuone mtanashati, lkn tumboni hamna kitu, hela yote anaishia kununua sabuni na nguo tu 🤣🤣🤣

Nakumbuka enzi zile, mi napiga kitabu tu, na nlikuwa nikitoka kitabuni naingia garage kwa anko wangu (mkonga nje) RIP kupiga kazi ili nipate hela ya ku spend shuleni na mtaani. Hivyo wakati vijana wanafanya pilika pilika zao kwa bint muda wote, mimi nilikuwa nautumia muda huo shuleni na kazini.

Baada ya pilika pilika za hapa na pale, vijana wakaona dem hasomeki. Yani ilikuwa wakimsemesha haongei, wakimpanga hapangiki, wakimtongoza hatongozeki. So wakabwaga manyanga na kuishia kula kwa kuangalia tu. Sister wangu (RIP) ambae sasa ni marehem ndio aliekuwa rafiki yake wa kwanza mtaani. Hivyo mimi nilipoona kwamba hakuna kijana yoyote ambae ashafanikiwa kuingia, nikamtumia sister kuniwekea mambo yangu sawa. Sister kwanza aligoma kutokana na jinsi anavyomjua bint mwenyewe (hapendi urafiki na mwanaume) ila baada ya kumbembeleza akasema poa atajaribu, ila akikataa basi nijifikie mimi mwenyewe, kitu ambacho kisingekuwa rahisi hata kidogo.

Huku na huku sister akaanza kuwa anamchomekea chomekea kidogo kidogo kuhusu mimi ili kumtengenezea mazingira ya baadae kuingizwa king. Baada ya kuona imefika wakati anakuwa anamhoji (sister) kuhusu habari zangu, ndo hapo hapo alipopata na yeye chance ya kumwaga kila kitu mbele yake. Da aisee haikuwa rahisi kihivyo kama tulivyofikiri, binti alikuwa mgumu kinoma kuelewa mpaka ikafika kipindi akawa hasemeshani na sister, japo alikuwa ashawahi kufika home mara 2 ila baada ya kuambiwa kuhusu mimi kumtaka basi akakata mguu kabisa wa kuja nyumbani. ila sister haku mind akaendelea kuwa anamsemesha tu mpaka wakajikuta wanaongea tena.

Baada ya usumbufu mrefu kutoka kwa sister mwisho akakubali siku 1 tukutane nimwambie mwenyewe kinachonisibu. Aisee hapo ndo ikawa kama vile mgonjwa anataka aonane na Doctor wake. Siku niliyokutana nae tukiwa wawili tu kwa mara ya kwanza, alinipa dakika 10 tu za kujieleza bila yeye kuongea lolote. Alafu baada ya kumaliza akasema nimpe week ya kufikiria jibu la kunipa ili nijue kuwa nimekubali au la. Ebwana week niliiona kama mwaka 🤣🤣🤣 mara niote nimekataliwa tena kwa kushambuliwa kuwa niache kumfuata fuata, mara niote kaacha kutusemesha mimi na sister wangu ili mradi tu week ilikuwa ya patashika patashika ambao unasubiri kujua mustakabali wa kile kinachosubiriwa na moyo wangu.

Week ikapita kimyaa, nikataka kumshtua sister lkn nikaona acha kwanza nikaushe. Week ya pili ikapita kimya, nikasema ngoja siku hiyo nijifanye namshindikiza sister kwao labda inawezekana amesahau hivyo akiniona atakumbuka. Nimemshindikiza sister, kaniona lakin ola 🤣🤣
Nikaona hapa nimetoswa ile kikubwa, wenyewe tulikuwa tunaita kimya kimya.

Siku hiyo sina hili wala lile nishakata tamaa na kuuliza nashindwa, nashangaa sister ananipa bahasha mkononi anasema amepewa na rafiki yake. Moyo ukaanza kudunda nikijua sasa naenda kukutana na matusi yasiokuwa ya kawaida. Baada ya kufikiri nikaichana ile barua na kuanza kusoma. Aisee nilichokisoma nilirudia kukisoma zaidi ya mara 10, kutoka hapo nilikumbia mpaka kwa sister ambae alikuwa ameniachia nisome mwenyewe na kumuuliza nimnunulie nini kama zawaida ya kile alichokifanya. Sister akanambia nisiwe na presha, siku yoyote nikiwa na hela nimwambie twenda Kariakoo kuna viatu fulani anataka kununua ila alikuwa hana hela, nikamwambia asikonde.

Huo ndio ulikuwa mwanza wa mahusiano yetu mimi na huyu bint ambae leo hii ni mama yangu mdogo. Nakumbuka wakati tunaanza uhusiano aliniambia iwe siri ya watu watatu tu. Yani mimi, yeye na sister tu basi. Hakutaka mtu yoyote mungine ajue uhusiano wetu, nikawambia poa.

Kutokana na kutopenda show off basi ilikuwa kila nikimtaka aje home (geto) lazima atakuja kwanza kwa sister apige pige story alaf watu wakiwa hawapo uwani ndo anaingia ndani kwangu kimya kimya, tunakaa tunaongea na kupanga mengi kuhusu maisha na uhusiano wetu. Cha kushangaza muda wote huu ilikuwa nikimgusa tu ugomvi unaanza na kuomba nimfungulie aondoke. Hali hiyo iliendelea huku yeye akiahidi kunipa apple 🍎 baada ya ndoa. Nilipomuuliza alidai kuwa toka azaliwe hajawahi kuguswa hata na kidole, hivyo haitokuwa busara yeye ajitunze miaka yote hiyo alaf aje kuharibiwa ukubwani tena na boy friend tu (sio mume).

Kwa namna fulani nilikuwa namuelewa, lakn kwa upande mungine nilikuwa naona kama vile ananinyima funguo ya kufungua kitu muhimu katika maisha yangu, maana mpango wa kuoa kwa muda ule nilikuwa sina na ukizingatia nilikuwa bado mwanafunzi, vilevile kazi yenyewe ya kujifunza. Hata hivyo sikukata tamaa wala kumuonesha kuwa sina mpango wa kuoa. Sanasana nilikuwa namwambia aniombee dua nimalize elimu na kuanza kazi aidha ile ninayojifunza au ya kuajiriwa.

Tulikaa katika uhusiano kwa muda wa mwaka 1 na miezi 5 bila kuingia ikulu. Sanasana ilikuwa ni busu tu, hata kugusa chuchu ilikuwa ni kwa kijanja janja sana. Akigundua kwamba unajiacha kwenye chuchu zake kupitiliza basi zoezi linaisha na kuomba aondoke 🤣🤣🤣.

NDEGE MJANJA HUNASA KWENYE TUNDU BOVU.

Siku hiyo nikajifanya naumwa kinoma, basi akaja kuniona kwa style ile ile ya wizi wizi. Tukiwa ndani wawili nikawa najitetemesha kinoma. Sasa akawa akinishika najifanya kutulia akitoa mkono naanza tena kutetemeka. Akaniuliza ni nini, nikamwambia kazini kwetu kuna mteja alikuja na kinywaji fulan, hivyo nikamuomba animiminie ninywe baada ya kunywa yule mteja akaniuliza kama nina mke nikamwambia sina. Ndo akanambia kuwa ile ni ya kuamsha nguvu, hivyo inashauri mtu yeyote anaekunywa basi ahakikishe akitoka hapo anakwenda kushiriki tendo la ndoa, bila hivyo anaweza kujiletea matatizo makubwa katika mishipa yake ya kiume.

Sasa hapa unaponiona najuta kunywa vitu nisivyovijua maana maumivu ninayoyasikia sio ya kawaida. Pia naogopa kuwambia ndugu zangu kuhusu swala hili, tafadhali naomba unisaidie kunitoa katika mateso haya kwa kunipa japo kidogo tu nishushe mzigo wa mateso. Najua nikishatoa mtindi mwili utarudi katika hali yake. Alikaa kimya kwa muda alafu akaniuliza una uhakika kuwa mimi ndo naweza kuwa tiba ya hicho kinachokusibu nikamwambia ndio mpenzi kwa sauti ya kutetemeka.

Akajifikiria kama dakika 10 hivi, akanyanyuka akaaga anaenda zake, ila alivyofika karibu ya mlango akageuka akaniangalia akarudi tena. Akasema hivi tukifanya hautoniumiza. Nikamwambia siwezi kukuumiza, nitafanya taratibu mno tena kwa kugusisha tu kidogo kidogo. Akasema sawa ila asije nigeuka huko mbeleni. Nikamwambia naanzaje kukugeuka mtoto mzuri kama wewe ambae hapa mtaani kula mtu alikutaka akashindwa, tukacheka 🤣🤣🤣

Akasogea nikamvuta na kuanza kumchezea, tofauti na siku zingine. Safari hii aliniacha niingize mkono mpaka ikulu kwa raisi. Baada ya dakika fulani nikawa nimeshatatua uzi, huku akibubujikwa machozi ya maumivu na majuto ya kile tulichofanya. Nikam'bembeleza na kumtia moyo kuwa mimi ndio mumewe mtarajiwa, hivyo asiwe na wasiwasi wowote kwa kile nilichokifanya.

Baada ya siku hiyo kupita na yeye kuzoea kidogo kidogo, tukawa sasa tunaenda round hata 2 akitoka hapo hoi anachomoka kisiri siri na kwenda kwao bila mtu yeyete kumuona isipokuwa sister tu ndo aliejua.

Za mwizi 40 alikuja gundua kuwa mimi natoka na dem mungine (ambae ndio mke wangu kwa sasa) basi uhusiano wetu ukawa umeishia hapo. Nakumbuka nilijaribu kum'bembeleza na hata kumtumia sister kum'bembeleza lakin ilishindikana kunisamehe.

Ukweli ni kwamba hata huyu mke nilie nae ni kisu kweli kweli kama alivyo yeye, lakini kwa kipindi kile nilimpa nafasi kubwa ya kuwa nae kutokana na sababu kuu 2.

1. Mimi ndio niliemtoa bikra (kumuharibu usichana wake) hivyo niliona kumuacha kwa njia ile ilikuwa ni dhambi kubwa. Na ningemsababishia mateso makubwa ya moyo katika maisha yake.

2. Huyu ambae ndio mke wangu leo, alikuja akamkuta yeye ndio mwenye kunimiliki. Hivyo niliona ananafasi kubwa ya kuendelea kuwa na mimi kabla ya kufikiria kuendelea na huyu mpya.

Yeye kwa upande wake hakujali msamaha wangu na kuamua kwenda kwao Singida bila kuniaga. Baada ya yeye kuondoka na mimi nikaondoka kuja bondeni bila kuwa na mawasiliano yoyote na yeye. Sana sana nilikuwa nawasiliana na huyu ambae nipo nae leo. Baada ya miaka mingi ya kuruka nyoka, sasa ukafika wakati wa kuoa nikamuoa huyu nilie nae na kuanza maisha ya ndoa.

Kumbe baadae alirudi Dar na kwa vile alikuwa bado mrembo basi bamdogo akamuona akampenda, na kutangaza ndoa. Kumbuka mahusiano yetu yalikuwa ni ya siri, hivyo hakuna mtu yoyote pale nyumbani alikuwa anajua kuwa nilikuwa natoka nae kimapenzi. Mtu mmoja ambae alikuwa anajua ni marehemu sister wangu ambae wakati bamdogo anaanza uchumba yeye alikuwa ameshafariki. Mimi nae nilikuwa sina hili wala lile. Nilikuja kusikia baadae kuwa bamdogo anataka kuoa lkn sikuwa najua kuwa ni mwanamke gani. Na hata yeye hakuwa anajua kama anaolewa na baba yangu mdogo, mpaka mipango ya harusi ilipoanza kufanyika ndo alipoanza kuwaona ndugu zangu.

Ndoa ikafanyika, bamdogo akaingiza chombo ndani na kuanza maisha mapya ya ndoa huku akijisifu kwa kuoa toto ndogo.

Nilipata mshtuko nilipotumiwa picha za harusi, lakini nilimezea kiutu uzima, maana tayari ashatoka kwenye mpenzi wang na kwenda kweny mama yangu. Hiyo ilikuwa 2018, na sasa wameshazaa watoto wawili.

Mwaka 2019 nilienda bongo, nikajaribu kukwepa kwenda kuwatembelea kutokana na sababu niliyoieleza hapo juu, basi lawama zikawa nyingi kutoka kwake. Bamdogo akajua labda ni lawama za mama mdogo kutaka atembelewe na mtoto wake toka South, kumbe mwenzake alikuwa na maana nyingine kabisa ambayo tunaijua mimi na yeye tu.

Sasa pamoja na kwamba mimi namheshimu kama mama, lakini mwenzangu bado ananichukulia kama mpenzi wake. Ananitumia meseji za mapenzi, nikimshauri kuacha kufanya hivyo ndo kama vile namtuma aongeze kutuma zaidi.

Nishajaribu kubadili namba za simu lakini bado sio dawa, maana bamdogo akizipata tu namba zangu na yeye anazichukua kwake na kuanza kuwasiliana tena na mimi. Kibaya zaidi anajua kama nimeshaoa tena yule yule mgoni wake.

Leo kuna meseji kanitumia ki ukweli imeniacha hoi, mpaka najuliza hivi ikitokea siku bamdogo akafumania aina ya mesej kama hii hali itakuaje katika familia!!

Anyway leo naomba niishie hapa, ila kama kuna mtu anaeweza kunipa ushauri wa nini nifanye ili kujiepusha na hali hii naomba anishauri maana da ishakuwa too much now.

Hebu angalia ujumbe alionitumia leo asubuhi. Maana hata kumjibu tena naogopa wakuu.

1725469373768.png
 
Hio profile kwenye chats mbona kama naijua hivi? Na uwe na adabu, umepewa mbususu huitaki ya nini kuexpose chat ya mama wa watu. Ww ni lijinga ndo maana unapewa mbususu na huyo mke wako(dem ukimtia bikra unaweka agano nae) ila unaikataa
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Kisa chenyewe kinaanzia mbali kidogo, hivyo naomba msomaji usome kwa kutulia ili kama una ushauri wowote wa maana, basi uendane similar na kile nilichoandika. Ok Soma sasa hapo chini...
Yaani mi kuoa non-virgin (asiye bikra) Mungu aniepushe mbali kabisa.

Ila kweli hii message hujaitunga? "Siwezi kuacha kukumbuka banana yangu"? Badala ya banana yako?
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Kisa chenyewe kinaanzia mbali kidogo, hivyo naomba msomaji usome kwa kutulia ili kama una ushauri wowote wa maana, basi uendane similar na kile nilichoandika. Ok Soma sasa hapo chini...
Hapa sasa naanza kuwaelewa wale jamaa wa oa mwanamke bikra 😅😅.

Maana hapo kimsingi ni kwamba baba yako mdogo ameoa mkeo yaani ameingia kwenye himaya yako.

Angekua ameolewa mbali hizo kumbukumbu zingebaki kuwa chini sana ila tatizo ameolewa kwenye familia so kila akikuona kumbukumbu za kale zinawaka moyoni mwake.

Hapo sina cha kukushauri mkuu, uzi huu ungeandikwa na baba yako mdogo ndio ningemshauri aachane na huyo mwanamke 😆😆😆😆.
 
Back
Top Bottom