Mwenzenu najuta kumtoa mam'dogo bikra. Nimeoa, ameolewa na baba yangu, lakini bado ananing'an'gania tu. Nifanyeje ili nimuepuke?

Yaani mi kuoa non-virgin (asiye bikra) Mungu aniepushe mbali kabisa.

Ila kweli hii message hujaitunga? "Siwezi kuacha kukumbuka banana yangu"? Badala ya banana yako?
Nitunge ili iweje mkuu. Si mesej zake hizo nimekuwekea. Banana anaita yake kwa sababu yeye ndio aliitumia, mimi nimeihifadhi tu ndani ya suruali 🤣🤣🤣
 
Hapa sasa naanza kuwaelewa wale jamaa wa oa mwanamke bikra 😅😅.

Maana hapo kimsingi ni kwamba baba yako mdogo ameoa mkeo yaani ameingia kwenye himaya yako...
Yani ananisumbua kichizi na wakati anajua kuwa tayar kishaolewa na mimi nimeshaoa. Nnachohofia ni pale bamdogo atapogundua hili, huenda akampa talaka na wale wadogo zangu waliozaa nae watahangaika kwa kukosa malezi ya wazazi wawili.
 
Jitahidini asijue kwa maana atajiona mjinga sana halafu atawalaumu wewe na mkeo ambae yeye kamuoa.
 
Jitahidini asijue kwa maana atajiona mjinga sana halafu atawalaumu wewe na mkeo ambae yeye kamuoa.
Ndio maana nataka swala hili nilimalize mwenyewe kimya kimya bila bamdogo kujua chochote mkuu.
 
Mtishe kua akiendelea kukutumia message za mapenzi utazikusanya na kuzituma kwa mumewe ambae ni baba yako mdogo. Nna hakika ataogopa kuendelea kukusumbua.
 
Sio kwamba anakupapatikia sababu upo South, jiongeze weee bikra za siku hiz hazitunzi kumbukumbu utavunjiwa ndoa na ukoo usambaratike kisa maigizo ya kikorea.
 
Duh hivi hili linawezekanaje😂😂😂Dunia simama mie nshuke zangu et
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…