Mwenzenu najuta kumtoa mam'dogo bikra. Nimeoa, ameolewa na baba yangu, lakini bado ananing'an'gania tu. Nifanyeje ili nimuepuke?

Mimi bwana mwanamke kama aliwahi kuwa wangu uwa ni wangu daima hivyo sijui aolewe nani ,sijui nani lazima akijaa kwenye hamsini zangu haijalishi Yuko na nani lazima twende mkao tu .
Hahaha mimi namheshimu dingi. Nisije kumuua kwa presha na kuwasababishia matatizo na msongo wa mawazo wadogo zangu.

Nishapita na kutatua nyuzi enzi hizo, basi inatosha.
 
Mi nakushauri hamia kwa ding mdogo ili mkaishi maisha ya amani na upendo
Ushauri wako unaweza kuwa mzuri, lakn kwa upande wang kwa sasa naona haiwezekani na ukizingatia mimi pia nina mke na watoto. Na pia nina kwangu.
 
Kweli haiji kabisa na ni upuuzi ila sasa ukute mtoto ni mkali ndo lawama zinapoanzia, na hawanaga siri hawa viumbe utashangaa anaanza kumvimbia Bamdogo ukianza kumbandua.
Hilo ndio linaloniogopesha. Wanasemaga mapenzi ni kikohozi, kulificha hauwezi. Sasa ikitokea kumuonjesha tena atataka tena na tena hadi tutapokuja kugundulika na kuleta matatizo ktk familia wakati mimi nina mke wangu.
 
Hilo ndio linaloniogopesha. Wanasemaga mapenzi ni kikohozi, kulificha hauwezi. Sasa ikitokea kumuonjesha tena atataka tena na tena hadi tutapokuja kugundulika na kuleta matatizo ktk familia wakati mimi nina mke wangu.
Mbandue kwa bluetooth.
 
Tukushauri nini na unaonkana huo mchezo unaenjoy😀😀
 
Daa ata cjui nkushauri Nini maana anasema ataendelea kukupenda tu daima apoo labda ukikata mawasiliano na bamdg ili nae asipate namba lkn bdo tu ndugu atajiulza kwanini na ukisema muyaweke wazi hayoo itakua tafrani piaa hivyo kuwa makini na maamuz utakayo fanyaa
 
Siku moja itakuja kujulikana na huo ndio utakuwa mwisho wa kuongea wewe na huyo baba ako mdogo hadi vikao vya family vifanyike.

Ulimwingu huwa haudanganyi sababu Jambo Baya lazima lionekane hadharani ili upate aibu Kwa Kile ulichofanya.

Jambo zuri lazima lionekane hadharani ili upate pongezi Kwa Kile ulichofanya.
 
Nikisema nimpotezee bamdogo itakuwa ngumu, kwa sababu yeye ni mzazi hivyo ni lazima niwe na mawasiliano nae ili linapotokea jambo la kifamilia iwe rahisi kuli save pamoja.

Kuhusu mamdogo, yeye kwa sasa nimempotezea (sio namchukia) bali naepuka matatizo yanayoweza kuja kutokea baadae. Hapo sijui unasemaje bingwa?
 
Ni kweli mkuu.

Lakini kwa uzoefu wako unaona swala hili likijulikana mimi nitakuwa na hatia?
Kwa sababu mimi nilianza kuwa katika uhusiano nae kitambo kabla hata huyo bamdogo hajajuana nae. Pili baada ya kuchumbiwa na kuolewa na bamdogo, mimi nimebadili cheo chake kutoka kuwa ex g'friend to mamdogo. I mean huwa namuita mamdogo na kumpa heshima zote anazostahili kupewa kama mke wa bamdogo wangu.

Na since aolewe sijawahi kumgusa au kufikiria kumgusa abadani. So hapo mkuu ikijulikana aibu na lawama zitakuwa kwa nani? Mimi? Bamdogo? Au bint muhusika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…