Mwenzenu najuta kumtoa mam'dogo bikra. Nimeoa, ameolewa na baba yangu, lakini bado ananing'an'gania tu. Nifanyeje ili nimuepuke?

Na
Na ya tigo
 
UMETUMIA MUDA MWINGI KUTUNGA STORY ILA BADO IMEKUSHINDA. NI YA UONGO TENA WA KITOTO. NA HIZO TEXTA WHATSAPP UNAJIANDIKIA MWENYEWE.
 
UMETUMIA MUDA MWINGI KUTUNGA STORY ILA BADO IMEKUSHINDA. NI YA UONGO TENA WA KITOTO. NA HIZO TEXTA WHATSAPP UNAJIANDIKIA MWENYEWE.
Yah ni kweli maana wewe ni mke wangu, hivyo unajua kila kitu ninachoandika kama ni cha kweli au la.
Aina shida mama watoto, acha tu uamue kuandika ulichoandika mama.
 
Yah ni kweli maana wewe ni mke wangu, hivyo unajua kila kitu ninachoandika kama ni cha kweli au la.
Aina shida mama watoto, acha tu uamue kuandika ulichoandika mama.
Ukikua utaacha kwa stage uliyo nayo na unayoandika ni vitu vya mpito.
 
Hio profile kwenye chats mbona kama naijua hivi? Na uwe na adabu, umepewa mbususu huitaki ya nini kuexpose chat ya mama wa watu. Ww ni lijinga ndo maana unapewa mbususu na huyo mke wako(dem ukimtia bikra unaweka agano nae) ila unaikataa

Hajui kwamba A.I inaweza kuonyesha picha iliyofutwa kwa dp
 
Kwaio Huu ndio muandiko wa mtu aliefeli la Saba? Inafikirisha sana.
 
Dah! Umepatikana, anyway mara moja Moja siyo mbaya mkikumbushia enzi
 
Mkeo kaolewa na baba yako?Mola akuweke mahali pema peponi.
 
Dah! Umepatikana, anyway mara moja Moja siyo mbaya mkikumbushia enzi
Ushauri wako sio mbaya Sana, ila kuna sababu zinanifanya nisiufuate.

Kwanza bam'dogo akigundua, itakuwa balaa kubwa kwenye familia. Lkn pia itaweza kunivunjia na mimi ndoa yangu niliyonayo sasa hivi. Ndomaana naamua nimuepuke ili hayo niliyoandika hapo juu yasije kunitokea.
 
Huu uzi uliusoma ukiwa bar? Mbona comment yako haiendani na nlichoandika kwenye uzi!!
Hata sikumbuki mkuu.Ngoja nimalizie hii Castle Milk nianze kupita kila baa wanikumbushe kama niliandika hiyo komenti nikiwa kwao au si kwao?
NB;Soma kichwa cha habari cha uzi halafu urudi kwenye komenti yangu ujiridhishe nani amelewa kati yangu na wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…