Mwenzenu napenda attention!!


i am hardly a teenager!may be not as old as you are but i am definately not a teenager!thank you though..
 
2late dia maybe u4got life mafupi nenda kwa mchina akutengenezee la haja huko nyuma utasomba wengi ukiwa unalitingisha hahahha
 
Huyu Bibi anapenda attention kama wewe, vp una mpododo twende sawa?
Thats my boy............napenda unavyoweka options zako wazi!!!
Kama hana mpododo hana nafasi kwako!!
:A S-key:
 
Hahahaha mpwa namaanisha kuna mabingwa wakuwataiti mabinti wenye attention kama huyu anamega alafu huyooo
Tena kama hawa wanakuwa wepesi sana mpwa, manaake ukimwambia hilo gauni limekutoa, basi akivaa gauni jengine lazima atajileta ili umwambie tena, na siku ukikosea stepu ukamwambia kwa mwonekano wako wewe inaonekana kitandani mechi extra time, basi ile attention itamfanya atake kukuonesha kweli.

NB: mie sjasema kama phina yuko hivi wajameni, nimemwongelea huyu waifu wa jirani yangu apa
 
2late dia maybe u4got life mafupi nenda kwa mchina akutengenezee la haja huko nyuma utasomba wengi ukiwa unalitingisha hahahha

Hahah..la mchina la nini wakati langu natural ni deadly??nah thanks😉
 
What your trying to be won't do you any better,just be yourself yupo atakae kupenda for what you are without much complications..hiyo ya mume wa mtu ndo balaa kabisa don't try it at home it might cost your life my dia..
 
Umesha jua ushauri wake? Si unaangalia kama upo zidi ya uwezo wako unaacha

Kama analo la muhimu la kuniambia si aniambie hapahapa??ama anafikiri mie napenda kuanika udhaifu wangu bure tu!??
 
Hahaha! You see, people will label you a teenager because you think like one. If you are not then grow up already!

We petcash..think like the adult you want me to believe you are!talking down on me is not helping your case kabisa..act your age!!
 
Kama analo la muhimu la kuniambia si aniambie hapahapa??ama anafikiri mie napenda kuanika udhaifu wangu bure tu!??

Ushauri mwingine ni binafsi jamani sio lazima kumwaga kuku kwenye mtama mwingi samahani kwenye mchele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…