Mie ndo huniogopi eeh? Yaani safari yangu ya kupelekwa fungate la ukubwani madagascar isipofanyika na wakati hadi mbwa tumemkatia ticket, wallah nakuotesha mkia kama wa farasi! Hiyo attention utaipata manake ukipita kila mtu atakuangalia!
Leo inbox ya phina itapasuka, mie nshatuma PM kwa ID zangu nane zote, nasubiri majibu tu.
Unajua kutoa attention ama ndo na wewe uta-hit na kukimbia?
Kibuzi hakijambo?
Stop watching Keeping Up with the Kardashians. I promise you, you will get better.
Jamani kongosho..wewe tena!nakujibu sasa hivi..no need to que!
tena nimekuandalia jibu zuuuri..
Hahaha..uuuwi!!nimecheka jamani..
U take the trophy king'asti!!its official now-nakuogopa.sawa mamie eh??nakuogopa!
Hahahah..
Tatizo lako King'asti unaangalizia hadi sehemu ya fungate, sikwambii sehemu nyingine nloivumbua.
Aah ngoja niseme tu, mateka ananipeleka Papua New Guinea.
Usiniige tena.
Tena kuna mganga mmoja chamazi tunaendaga sie wa matawi ya juu, anakuotesha jinsia kama 4 usoni! Weeh cheka tu, unataka kutibua dili za wenzio mjini? Mi town sikuja na mbio za mwenge wala malori ya uchaguzi, ohooo!
Papua New Guinea hata sio pa kwenda labda kama unaenda kusomea upadri, hata hakuna ma-handsome men and women kabisaa! Kuna sehemu ntakustua ila ni siri manake tulienda na small house.
atambe!!bado kabisa-u think mimi maharage ya mbeya eh??
He needs to put in a little more effort..kidogo tu!
personally nashindwa kukushauri cause naona nina interest tofauti na wewe eg sipendi kabisa kupendeza ile kujiremba too much ili kila mtu aniangalie ,tena nikijua nimependeza sanaaa siwi comfortable nipo makini sana sipendi attention
kuhusu mume/bf wa mtu ..huko ndo kabisa sisogei ..... sipendi kabisa partner wa mtu
u know what phina ..... hayo maisha unayotaka kuyaanza sio mazuri kabisa .... ulikuwa nice kid sio ... pls change ... sometimes huwa tunaacha njia nzuri tunaendea njia zetu wenyewe zilizo mbaya... na mwisho wake ni majuto.....
moyo huwa ni mdanganyifu sometimes ..... tena sana ... in this world kama lady kuwa makini sana tena sana...... mmmmh
Ngoja nipokee simu nakuja.....haiwezekani.....