Mwenzenu naumiaaa!!!

LD usimdanganye mwenzako... Mungu hatoi ulinzi kwa wazinzi!!!!

Mi sijui kama yeye ni Mzinzi,
Hata kama ndivyo, Mungu ni wa Rehema,
Namuombea ulinzi popote alipo Mungu amlinde, ampiganie,
na amuokoe na mikono ya wanyanganyi.

Dada mwanamke ni mlinzi wa mwanaume, mi sijui habari ya uzinzi,
lakini nasema kwa sababu ya upendo ulio nao kwake, Muombeee!!!

Maombi yana nguvu, hata kama unadhambi utatubu kabla ya kuomba.
Hakuna dhambi kubwa na ndogo, wala hatutakiwi tufe, ktk uovu/dhambi zetu.
Mungu aturehemu.
 

...Mama, nyumbani kuna matatizo ya "Mgao wa Umeme." Vumilia tu, atakujibu.
 
pole we..
kwa mtazamo tu.mapenzi mengi ya ughaibuni yanakuwa ni ya hukohuko
mtu atakudanganya 'i love u so much more than my mum' kumbe nyumbani ana mtu wake
hata hivyo, wapo wachache ambao wanakuwa wakweli.
sasa hapo we huwezi kujua huyo mpenzi wako amefall wapi
ila vumilia usubiri akutafute mwache asettle azunguruke hapa na pale ashangae mji kidogo mana kuna changes kila kukicha
afu akishazoea jiji ndo akutafutee
mvumilimu hula mbivuu
 
Huyo mpenzi wako alikuwa anakudanganya atakuwa alikuwa na mtu huku home hivo yuko nae benet kias simu anaona atakamatwa na mpenzi wake. pole mwaya
 
amekupata yupo hapa JF
 
Mtu ukisafiri na ukafika salama uwendako ni wajibu kuwajulisha uliowaacha nyuma kuwa umefika salama, ili uwaondolee wahka wenzako. Kifupi huyo jamaa yako hajali hisia zako wala nini...hata kuku sms kuwa amefika salama hakuna? hayo ni mapenzi gani?
Anyway labda wadau wanachosema kina ukweli ila binafsi sikubaliani na hizi excuses za mgao wa umeme mara sijui ana catch up na familia!
Kuwa makini na huyo jamaa yako, usije umia kama ulivyoumia mwanzo
 


Hii mi nimeipenda.
Naona unasema vema na haki kabisa.
Mtu nanayeheshimu hisia za mtu mwingine hawezi kufanya mambo kama haya,
labda basi awe amepata ajali na ame RIP, au mahututi kitandani.

Vinginevyo, najali mara ya kwanza, ya pili ya tatu.
Nakutema kama kamasi, hata ukifa nitasikia kwa wengine, ukiumwa nitasikia kwa wengine.
Potelea mbali, Mjali anaye kujali, na kuheshimu hisia zako. Asiye kujali Tupa kule,
Endelea na maisha, atatotekea tu, mwenye adabu ktk urafiki au mahusiano.

We unakonda na mawazo, mwenzio hata hakufikirii, Bwana wee, mkabili kwa Mungu wako,
We kula shiba, lala, endelea na maisha yako. Atakutana na wewe mbele ya safari.
Khaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! Raha jipe mwenyewe.
 
vuta subira dada,ila kama anakupenda utajua tu,na kama hana mapenzi na wewe utakuja kujua tu.kama mnasoma si atarudi huko ugenini? ila be careful,

dada umeachika... wana JF wanakudanganya... POLE
 
Je, wewe pia ulimpenda au ulifuatana naye kwa kuwa umesikia anakwambia anakupenda?!
kama ulimpenda pia basi endelea kumuamini hata kama ana - Kibongoflava!
 

Dada AD umesema ukweli wadada wengi wameumwiza na hilo neno its time neno lingine litumike. Pole dada Niwa akirudi hebu kaa naye muulize kulikoni najua atakudanganya 2.
 
live your life dear....have fun.....kwani umeacha kupumua alivyoacha kukujibu?in short anajua wazi alikuwa na we huko na ungependa kusikia kutoka kwake....zaidi inawezekana anasoma email zako.......ignore him....if you are all that to him,time will tell....for the time bn tulia na furahia maisha,wapo wanaume wengi tu,usimfurahishe mtu kwa kuwa desperate.......tabia ya kuimba mateso na historia yako kwa wanaume si nzuri,they are so damn selfish....zaidi anaweza kukuona una tatizo wewe.....keep it to yourself,akishakuweka ndani mueleleze....vitu vya kumueleza ni kama una mtoto au una ugonjwa,ulemavu fulani.....mengine,its none of their business!!:washing:
 

Ukweli ndo huu haya mambo ya excuses baadae it will be 2 late for him.
 
Kweli tupu LD mtu asiye jali hisi zako hakupendi hata kiduchu, dada Niwa concentrate kwenye masomo.
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>

mara nyingi mtu akiwa amesha umizwaumizwa kwenye mapenzi ndio anakua Kama wewe wasiwasi na kutokujiamini kunamsumbua, na ukisha jiona uko hivyo jua huyo mpenzio na yeye anakuumiza vilevile,

nachokushauri futa mawazo yako kwake achana na mawazo ya mapenzi waza mambo yako mengine, lasivyo utajikuta unaishia kwenye frustration mwanakwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…