mwenzenu nimefiwa

Negrodemus

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2010
Posts
2,318
Reaction score
684
Assalamu Alaikum
Admins, Moderators na members wote
wa Jamiiforums
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu
msiba wa baba yangu aliyefarik leo mchana msiba upo tanga makorola mi nipo iringa najichanga changa muda huu nianza safari nipate kuwahi mazishi hapo kesho kama mwenyezi mungu akisaidia mazishi ni saa 4 asubuh katika makaburi ya msambweni.
 
Mkuu pole sana, jipe moyo.
 
Mkuu,
Pole sana ndugu yangu!
Mungu akufariji kwa nguvu zake.
 

Kapala pole sana ndugu yetu yote mipango ya Mungu
Tushukuru kila jambo
 
asanten n mipango ya mungu hapa ni kujipanga tu ye mbele si nyuma yake.
 
pole sana mkuu, Mungu akutie nguvu na kuisafisha njia ili upate kusafiri salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…