mwenzenu nimefiwa

Pole sana mkuu Mungu akutangulie! Bwana alitoa na bwana alitwaa!
 
bwana alitoa bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe, Mungu na akufariji!!
 

pole sana.mungu akutie nguvu akuwezeshe ufke salama na kukurudsha salama.
 
Pole sana...Safari njema kuelekea kwenye maziko....!!
 
Pole sana Mkuu, Kazi ya Mungu haina makosa.
Be strong, utawahi mazishi, insha'allah.
 
pole mkuu R.I.P baba yetu
 
Inna Lillahi wa Inna Illahi Rajjun. Pole sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…