Mwenzenu nimeukata!

Tuma hela ya bima kama Dr. na wewe utumiwe hela zako. Achana nao hao matapeli
 

!. Kwani kuna shindano lolote ulicheza? Maana huwezi kushinda chochote ambacho hukushindana!

2.lazma email ya coca ingekuwa .....@cocacola sio hao outlook

3.Hao ni matapeli wa mtandao, nia yao ni kutumia particulars zako ili watengeneze crdt card au chochote cha namna hio ili wafanye manunuzi yyte. Hizo maelezo ukiwapa watakuambia uwape na bank account number ili wakuwekee hela! Kumbe wanataka account numba yako ili ifanyie malipo katika ishu zao!
 
Mi nimetoka kwa mbio nikajua umekufa kumbe mambo ya kijinga hayo
 
Nilivyosoma hiyo title nilijua kuwa umeukata 'mkono wa sweta'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…