Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..
dalili ya mimba hiyo dadangu, kapime mwee!
flady1
it is not worthy it kuumia wakati aliyekuumiza either anakoroma au anagida bia yake... find something cheerful, think positive, kumbuka waliokufurahisha na wewe kufurahisha
weka yourself juu, japo kwa sekunde, dharau ujinga lala
kesho hasira zikiisha hoji upya
Pole sana FL1, najua unaumia sana kama unataka kulia ni bora ulie tu lakini si kwa sauti maana kufanya hivyo utajiumiza zaidi. Kulia kwa binadamu pale kuna jambo ambalo limekuwa tofauti na matarajio yako si jambo la ajabu hata kidogo. Mie nakuombea Mungu ili urudie katika hali yako ya kawaida. Pia usisahau kusali sana hili litakusaidia kukupunguzia majonzi yako. Pole sana FL1
Hizo kero za ofisini unaenda nazo nyumbani kufanya nini? Utakufa bure kwa presha. Anza utaratibu wa kuyaacha mambo ya ofisini hukohuko na unapofika nyumbani endelea na mambo ya nyumbani. Lazima ujue kuwa kama una mwenza na watoto unawaathiri pia kwa moods unazotoka nazo ofisini. Mimi piga ua hata mtu anitishie kunifukuza kazi kesho yake lazima nilale sio chini ya masaa sita.
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..
Pole eenh mpenzi, njoo hapa nyumbani nikuombee! 😛oa
husomeki mkuu.alikuja mtoa mada hapa jamvini akadai mwanamme ukiwa na hali hiyo basi ndo unakuwa kwenye siku zako! Sijui na wewe labda uko na hali hiyo
MTN asante sana kwa ushauri wenye hekima barikiwa..leo kiasi najisikia vyema ...Wewe umeshawahi kuuziwa sana na ukasahau mapema?
Fl1 pole my dear ila nafurahi kusikia kuwa leo unajisikia vizuri kidogo.