Mwenzenu nina hasira kila kitu nakiona kibaya..

Mbona humu JF kuna burudani ya kutosha! Mwenzio nikiona siku haiendi vema, natafuta sredi inayochangiwa na watu waliopinda. Baada ya muda stress zoooote kwao. Pole mwaya, utarudi normal.

Kweli tupu, hata mimi siku nikiwa na stress JF iko wapi natafuta thread ya vichaa wa humu ndani, nacheka weee nasahau kial kitu. Pole FL, hali hiyo itaisha tu, muombe Mungu
 
FL, saa hizi ni saa nane nadhani uko poa now, au bado una hasira.....


 
Nimemaanisha kuwa alikuwa na hasira tangu usiku, asubuhi akalileta hapa, sasa tangu asbh alipolileta hapa na baada ya kushauriwa hadi hiyo saa nane bado ana hasira au zimeisha

hehehe, hivi saa nane hautakiwi kuwa na hasira?
ram bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…