Mwenzenu sijui nini mimi nikiona Wamama hakili inahama!mimi watoto chini ya miaka20 sina hobi nao, mimi mijimama wawe umri wa 40 na amezaa kama mara 3 basi kwangu brudani.
Mke wa mtu sumu ila kutokana na na exprnc wengi ni wake za watu kitu ambacho sipendi na wengine niwale wanaopenda kulea kitu nisichopenda mimi napenda kila mmoja ajitegemee ikibidi mnasaidiana,ila ninacho penda hawa akina dada nijinsi gani wajuavyo nini wanafanya kwanza hawana papara wanapenda mimi sidaganyiki na facebooker!!Lol....... pata ile ki2 roho inapenda bana, maisha yenyewe mafupi haya. lkn hao 40's si wanakuwa wake za watu? au wajane? hapo ndio naona kuna tatizo. wale kama wako tu single mh enjoy kk.
KK mimi wala sina tatizo na utashi wa roho yako,tatizo langu ni wanaolala na vi underage, lakini so long as unaowapenda ni of mature age then its your business ndugu yangu.
hommie....hivi under age wanaanzia miaka mingapi.......