Elections 2010 Mwenzenu Urais Basi Tena!!!!

Octoba 31 itaonyesha picha kamili,asante kwa treller
 
Huo ndo uungwana asiyekubali kushindwa si mshindani, JITIHADA ZOOOTE LAKINI WAPI, wasanii nao wametumika lakini wapi!!! Kapumzike JK byeeee!!!!
 
huo ndo uungwana asiyekubali kushindwa si mshindani, jitihada zooote lakini wapi, wasanii nao wametumika lakini wapi!!! Kapumzike jk byeeee!!!!


baada ya matokeo tuje hapa hapa na topic zetu jamani tusikimbiane hata kidogo
 
Hivi huyu atarudi bagamoyo au ni kule Irente kwa Bwana kapa?
 
Kilichobakia kwa JK ni kuwashukuru watanzania kwa kumwamini na kumpa ushindi wa Tsunami mwaka 2005 na ya kuwa anakiri ameshindwa kukidhi mahitaji ya watanzania walio wengi.

Hilo tu ndilo litamrudisha kwenye chati za viongozi maridadi wa zamani
 
Wandugu kilichovaliwa mkono wa kushoto ni kitu gani?

Ha ha haaa, na mimi nilikuwa nashangaa hiyo kitu. Labda ndo sehemu ya ulinzi unaotolewa na Sheik Yahya. Bangili ya aina hiyo huwa wanavaa majambazi, ambao huwa wanapewa kama sehemu ya ulinzi wao. Kwa hiyo si ajabu kwamba hata Kikwete huo ndo ulinzi wake.
 
Jamani mwacheni mzee wa watu apumzike kidogo,mambo aliyonayo sasa ni mengi na yanamzidi ndio maana mnamuona hata vitu ambavyo hamjawahi kumuona akivivaa kabla.
 

Ulinzi wa kabila hii ukikutana na ile nguvu ya Jina lipitalo majina yote husababisha kama yaliyotokea pale jangwani kwenye ufunguzi wa kampeni,shauri yake!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…