Mwenzetu katuma sms anaenda kujiua-mkwawa university

Atakuwa ni mtu wa huko huko iringa ndo wanahizo tabia
 
Msanii huyo, anayetaka kujiua kwa kumaanisha hawezi kutoa taarifa.
 
Mida hii mwanachuo kaacha ujumbe kua anaenda kujiua,mlima wilolesi hapa iringa,tunamtafuta haonekani,first year,tetesi mtihani w jana mgumu.
kama mkifanikiwa kumpata,kama mkwawa imemshonda mwambie aende SUA atapata nafuu....
 
Mida hii mwanachuo kaacha ujumbe kua anaenda kujiua,mlima wilolesi hapa iringa,tunamtafuta haonekani,first year,tetesi mtihani w jana mgumu.

Jamani msipuuzie kitu kama hiki. BUMIJA naomba umtumie SMS umuombe mkutane hata kwa soda mahala. Mwambie kuwa there is nothing whatsoever that is worth commiting suicide for. Tatizo lolote lile linatatulika ukilipa muda. Please alert social workers wa chuo afanyiwe councelling. Kama anafanya usanii, shame on him BUT let us not assume that.
 
tujitahidi kufuata maneno ya mwenyez mungu kwani vitabu {mf. QURAN} inasema ukijiuawa moja kwa moja we unakwenda motoni hivyo basi tujitahidi kuwatumia viongoz wa dini pale tunapotingwa na matatizo.
 
Mida hii mwanachuo kaacha ujumbe kua anaenda kujiua,mlima wilolesi hapa iringa,tunamtafuta haonekani,first year,tetesi mtihani w jana mgumu.

yaani hata akijinyonga hana faida yoyote kwenyechili taifa,msomi gani anajinyonga kwa kuogopa paper?yaani akale raha na mahawara zake na kusahau kitabu aje kututisha na kujinyonga?pumbavu zake kabisa
 
Mida hii mwanachuo kaacha ujumbe kua anaenda kujiua,mlima wilolesi hapa iringa,tunamtafuta haonekani,first year,tetesi mtihani w jana mgumu.

Huyo ni wa kumpongeza......maisha ya duniani yamemshinda kaamua kwenda kujaribisha ya kule asipopajua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…