Habari za Ijumaa,Naomba niwaulize wenzangu,ivi unafanyaje unapokuwa na mwenza wako ambaye haelewi,yaani ulimwengu uko huku na yeye yuko huku?halafu hashauriki kwa maana anajiona yuko sahihi,hana mipango dhabiti,anapanga kutokana na wenzake wanavyopanga,anaweza akaamka kitandani bila mpango wowote akaenda kununua gari ambalo halikuwepo kwenye mipango na huku nyumba kapanga.....Nauliza ili kujifunza namna ya kumsaidia huyu na kujisaidia mimi mwenyewe.Karibuni.
Ukweli mtupu, sio kila uonacho wewe sawa, na wenzako lazima wakione sawa...nice point :cool2:umejicontradict! Mwanzo umesema anafanya anavyojisikia, baadaye ukasema anafanya wafanyavyo wengine!
Sema hasikii ushauri wako wewe! Lkn pia kununua gari si lazima uwe umejenga; na utajenga kila mkoa? Kupanga hakiepukiki!
Jaribu kumuelewa, na si kila unachokiona wewe ni sahihi!