Mwenzi wangu ana mbweche kubwa

Mwenzi wangu ana mbweche kubwa

Status
Not open for further replies.

kiritimba

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Posts
603
Reaction score
88
Jamani mwenzenu napata tabu, mwenzi wangu wa kike ana mbweche kubwa ajabu kiasi kwamba sipati raha afu anatoka vitu kama mapumbapumba hivi, kumwacha siwezi nifanyeje?
 
Siri za mwenzi wako unakuja kuzianika huku mtandaoni
kwa nini usingekaa nae ukamuuliza ni kitu gani alicho nacho kabla ya kuja kuainika utupu wa mwenzi wako hapa
Na umejuaje kama wewe ndio una kakitu kadogo sio yeye

Ahhhh halafu duh nimebaki hoi na hilo jina
 
hayo mapumbapumba yanatoka wapi?? sikioni, puani, mdomoni , mguuni n.k pambanua lol
 
Siri za mwenzi wako unakuja kuzianika huku mtandaoni
kwa nini usingekaa nae ukamuuliza ni kitu gani alicho nacho kabla ya kuja kuainika utupu wa mwenzi wako hapa
Na umejuaje kama wewe ndio una kakitu kadogo sio yeye

Ahhhh halafu duh nimebaki hoi na hilo jina

Sio kama namwanika ila nahitaji ushauri hili si ndo jukwaa la ushauri wa kimaumbile. maana ilibaki kidogo nimwache akalia sana
 
imebidi nicheke tu......mapumba yanatoka?....ana bacteria huyo tena ni mgonjwa kweli ...mshauri akamuone daktari
 
Sio kama namwanika ila nahitaji ushauri hili si ndo jukwaa la ushauri wa kimaumbile. maana ilibaki kidogo nimwache akalia sana

Nenda jukwa la Doc kule umuulize Doc vizuri kuwa hayo mapumba pumba ni nini
By the way swali langu lilikuwa ushakaa nae mkaongea na akakueleza tatizo ni nini
Au mshashauriana kama wenza mkajua ni nini issue kabla ya kuja kuanika humu
 
Kwani kaniaje kako kana ukubwa gani? Sio unasema tu ya mwenzako.
 
aaaahhhhhhaaaa mbweche kubwaaa, du wabongo nommmaaaa, mkuu sikia hapa shida mi nadhani wewe mume ndio una machine ndogo, na hii sasa unamlaumu mwenzio,,eti mbweche ndogo,,pole kaka na usibweteke na kwenda kutumia madawa ya kuongeza uume utajuta katika maisha yako, hapo cha msingi mshauriwe style nzuri za kula chakula cha usiku kutokana na maumbile yenu wote mtafurahia....nenda kajarib u chuma mboga.....aahhhhhaa makubwa hayo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom