Mwenzi wangu ana mbweche kubwa

Status
Not open for further replies.

Nimeshawahi kuona mada kama hizo hapa.. Sikatai kuna umri wa kubalehe ambako viungo vyote vya mwili vinabalehe hadi akili.. hivyo kwa kijana wa kiume kutaja tu sehemu ya siri ya mwanamke ni pleasure tosha...

Vitu kama hivyo wanatakiwa wakaongee kwenye mabweni yao.. Siyo JF au MMU hapa ni wider forum..

AU NI WEWE.

Mkuu nakubaliana na wewe
Ila wana muda wao wakijua kuwa kuna sehem za kuwa wazi kihivyo na kuna mambo ya kuficha na kuttotumia maneno makali wataacha tuu
Ila sio ustaraabu kuanika mambo ya wenza wazi kiasi hicho na tena mambo ambayo yanaongeleka

Na wewe kipisi cha sigara

hapo lazima useme

Kwa nini mnawadharau hao viumbe wakati nyie hamjiangalii

Bado una safari ndefu hujapambana na wenye masufuria wewe.

Naamimi kila kitu kina namna ya utumiaji

Matumizi tuu mkuu na utaona kila kitu kinaenda sawa

Hapo sasa ndio umenena lakini sio kukataa kuwa hakuna wanawake,wenye maumbile makubwa hapo ndipo nilipokataa,watu wote hatulingani kuna warefu,wafupi,wembamba,wanene nk nadhani umenielewa mkuu.

Huyu kijana ni Great Thinker wa ukweli kabuni jina "mbweche", kuna nanai alikuwa anajuwa ni nini hicho kabla hajasoma hii nyuzi? Na kaiweka kiaina hii post ambapo hata asiyejuwa "mbweche" ni nini ameshaijuwa ni nini.

Haya kijana hongera zako. Kuhusu hayo mapumba sijawahi sikia, nimewahi kusikia kuhusu machicha. Umaanisha pumba kama za mahindi au mpunga? sio machicha lakini.

Hukutesti zari kabla?

nilitesti ila sikuwa na uzoefu wa mambo haya nilipomwuliza akniambia kuwa ni bao langu kumbe alikuwa ananidanganya, nilipogundua nikataka kumwacha akalia hadi nikamwonea huruma

Hapo sasa ndio umenena lakini sio kukataa kuwa hakuna wanawake,wenye maumbile makubwa hapo ndipo nilipokataa,watu wote hatulingani kuna warefu,wafupi,wembamba,wanene nk nadhani umenielewa mkuu.

Mkuu tatizo sio kukataa ila tatizo ni the way mtu alivyoipresent as if yeye yuko perfect hana tatizo na tatizo linawezekana liko kwake mkuu

Mkuu tatizo sio kukataa ila tatizo ni the way mtu alivyoipresent as if yeye yuko perfect hana tatizo na tatizo linawezekana liko kwake mkuu

tatizo haliko kwangu mkuu nimethibitisha hilo

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…