Mwenzi wangu ana mbweche kubwa

Status
Not open for further replies.
Kuhusu mapumba pumba kamwone Daktari; maana kumwacha mwenzio kwa sababu ya ugonjwa sio jambo uungwana; unaweza ukakosa mwingine mara itakapojulikana kuwa uliacha kwa sababu ya ugonjwa. Aidha, kuhusu mbweche kubwa- tafuta style ambayo utaifurahia.
 
sio tangazo ila nawatoa hofu wale waliozani kuwa mi ndo nina toothpic
Mkuu ndo ujitangazie hivyo
haya mambo ni ya sirini mkuu na huwa hatusemi
Tunaficha unafanya suprise siku ukishamvua nguo
 
ndo hayo hayo kama mapumba si mapumba machicha si machicha yanakuwa yanabadilika langi kama noti mpya zinavyofanya
 
Mkuu ndo ujitangazie hivyo
haya mambo ni ya sirini mkuu na huwa hatusemi
Tunaficha unafanya suprise siku ukishamvua nguo

nia yangu ni kuwa naomba ushauli jamani mana nipo kwenye dimbwi la mawazo, lolote naweza kufanya naombeni mawzo yenu najua humu kuna watu wajuzi wengi nisaidieni tafazali
 
sasa nifanyeje mbona mnanichachamalia hivyo. na mi natamani nipate laha kama nyie wenzangu. wanawake naombeni maoni yenu

Kuhusu mapumba pumba kamwone Daktari; maana kumwacha mwenzio kwa sababu ya ugonjwa sio jambo uungwana; unaweza ukakosa mwingine mara itakapojulikana kuwa uliacha kwa sababu ya ugonjwa. Aidha, kuhusu mbweche kubwa- tafuta style ambayo utaifurahia.
 
Kuhusu mapumba pumba kamwone Daktari; maana kumwacha mwenzio kwa sababu ya ugonjwa sio jambo uungwana; unaweza ukakosa mwingine mara itakapojulikana kuwa uliacha kwa sababu ya ugonjwa. Aidha, kuhusu mbweche kubwa- tafuta style ambayo utaifurahia.

madaktari wanadai haitibiki hiyo hali ni ya kuzaliwa nayo afu nikiwa naye huwa kuna smeli kali sana nateseka mwenzenu
kuhusu suala la staili tumemaliza zote lakini mlango uko wazi kama geti la uwanja wa taifa
 
<br />
<br />
Hapo sasa ndio umenena lakini sio kukataa kuwa hakuna wanawake,wenye maumbile makubwa hapo ndipo nilipokataa,watu wote hatulingani kuna warefu,wafupi,wembamba,wanene nk nadhani umenielewa mkuu.

bora umebnisaidia kuwaelimisha wengine juu ya hili. sasa nifanyeje kiritimba miye
 
Utoto unamsumbua. Anaparamia mizigo inayomzidi. Hii sio issue ya kudiscuss kadamnasi, kaeni muongee na tumia style kama 'mbuzi kagoma'
 
Naamimi kila kitu kina namna ya utumiaji
Matumizi tuu mkuu na utaona kila kitu kinaenda sawa

nimejaribu aina zote za matumizi, kadri ninavyobadilisha ndo hali inavozidi kkuwa mbaya siku hadi siku
 
Utoto unamsumbua. Anaparamia mizigo inayomzidi. Hii sio issue ya kudiscuss kadamnasi, kaeni muongee na tumia style kama 'mbuzi kagoma'

hapana kiumri nimemzidi miaka 6. hiyo mbuzi kagoma kwenda nimejaribu lakini ndo naona kama nipo kwenye vakyumu vile
 
nia yangu ni kuwa naomba ushauli jamani mana nipo kwenye dimbwi la mawazo, lolote naweza kufanya naombeni mawzo yenu najua humu kuna watu wajuzi wengi nisaidieni tafazali

Mkuu mambo mengine sababu ya uwazi hatuwezi kuongea hapa
May be njoo PM na tujadiliane maana kutokana na mambo mengine kuwa ya siri sana wengine hatuwezi kuongea
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…