Mwenzio akinyolewa ...tabia mbaya!!!

ndugu umenielewa nilivyosema hawanipagi shida ni wa kina nani? nenda kaangalia nilivyo quote then unisome vizuri...nilimaanisha mawifi.
Usiogope nimekusaidia sana hapo if u think twice.:cheer2:
 
Uumm...you may want to rephrase that....kuwa na kimada/njemba pembeni si kawaida ya Mwafrika....ni kawaida ya binadamu.

U may want to rephrase that...si kawaida ya binadamu, ni kawaida ya binadamu wasio na misimao maishani mwao!
 

sorry

hiyo sio ndoa hao walitamaniana
 
Usicheze na ndoa ndugu hasa pale unapopewa mwenzio na mungu yaani chaguo la mungu na si wazazi wee mnaishi kma mko mbinguni
 
POLE SANA TENA SANA KWA KUCHEFULIWA NA TABIA HIYO MBAYA.. Ajabu ni kwamba huelewi na wewe uko mbali sana na ufahamu. sikia au ona hii hapa. Nawafahamu na nawajua ambao nimewahi hata kujaribu kuwasuluhisha.. ajabu niliyo igundua baada ya majario ya suluhu ya mda mrefu!!! wote watatu,, mume mke na kimada,, walikutana vichaa!!! hakuna hata mmoja aliye kua katika ufahamu wa kawaida. inasikitisha sana nawahurumia ila siwezi kuwasaidia na pia hawako tayari kusaidiwa kwa namna yoyote ile.
 
haya maisha yapo-ila ukipewa na hawara unampa nafasi ili yale mema uliyomtendea yamuhukumu kwa wakati wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…