Mwenzio anaweza kuwa cheater zaidi!

OTIS

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
2,252
Reaction score
832
Imagine mpenzi wako awe ana cheat kama wewe au zaidi yako.
kuna watu wanajipa moyo kuwa wapenzi wao ni waaminifu wakati yawezekana akawa ana cheat zaidi yako.
Kuwa na wapenzi wengi sio jambo la kujivunia.
What goes around comes around.
tafakari.
 
ndege wanaofanana huruka pamoja......
kama wewe ni mzinzi jua tu upo na mzinzi mwenzio...
chit chat....
 
Ungemalizia na OTIS kama kawaida yako,teh,teh,teh,teh!!
 
Last edited by a moderator:
ndege wanaofanana huruka pamoja......
kama wewe ni mzinzi jua tu upo na mzinzi mwenzio...
chit chat....

Huo msemo hau-apply kila wakati na sehemu yoyote. . .jifunze kutofautisha kati ya kuchagua na kuchaguliwa.
 
ndege wanaofanana huruka pamoja......
kama wewe ni mzinzi jua tu upo na mzinzi mwenzio...
chit chat....

Sio lazima ukiwa mzinzi uta date mzinzi mwenzio
I beg to differ na wewe Smile
OTIS
 
Last edited by a moderator:
Ungemalizia na OTIS kama kawaida yako,teh,teh,teh,teh!!

Hapana mkuu Eiyer
uzuri wa haya mambo ni kwamba kila mtu ni rahisi kuona mapungufu ya wenzie wakati yeye anayo makubwa zaidi
OTIS
 
Last edited by a moderator:
I believe kuwa kama wewe ni kicheche obvious utakutana na kicheche mwenzio... wengi huwa wanajifariji wenzi wao wametulia kumbe wanafanya kimya kimya. kama umetulia jua na mwenzio katulia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…