Changalucha
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 508
- 593
Mwesiga kabla ya hapo alikua nani !? Cv
Mwesiga kabla ya hapo alikua nani !? Cv
Aliukuwa Katibu Mkuu Yeboyebo (yanga)Mwesiga kabla ya hapo alikua nani !? Cv
Mwesiga kabla ya hapo alikua nani !? Cv
Huu nao ni Mzigo. Time will tell.
ukatibu mkuu unapatikanaje?Kwanza jamaa amesoma anaelimu nzuri tu aliyoipata pale udsm.
Kabla alikuwa katibu wa yanga pia alishafanya kazi na plan international pale makao makuu baada ya kurudi kutoka masomoni uiengereza
Tatizo nahisi jamaa atakuwa amebebwa sababu yeye na malinzi wote ni wahaya
U
Katibu Mkuu Yanga aliyefukuzwa ili Manji ale kiulaini maana amezoea kula na akina AkilimaliMwesiga kabla ya hapo alikua nani !? Cv
hakuna kitu hapo..wote wezi tu tanzania hatuwezi soka ....labda kuwe na mashindano ya kubanduana ndo tutashinda
Malinzi naye alikuwa yebo yebo kabla hajaukwaa urais wa TFF. Lakini hebu tuangalie imekkaaje! hawa jamaa wote wanatoka ng'ambo ya ziwa fulani wana jamvi hii iko vipi?
sasa hivi tutasema kuna ukabilaNawapongeza TFF chini ya uongozi wa Rais Malinzi kwa uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Celestine Mwesigwa.
Ni matarajio ya wanasoka hapa nchini Kuwa Mwesigwa utatumia ueledi wako na uzoefu ulio nao kukuza na kuendeleza mchezo huo pendwa wa kambumbu. Hongera MWESI.
Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums