unaweza kua bosi sehem,mfano tuseme mjaluo,ukawateua watu wote wa chini yako kwa vigezo vyao vya elim kwa mfano,mwisho wa siku mko mia ofcn wote wajaluo ila mna sifa za hyo kaz,kikanuni mko sawa ila lazma watu watahoji iweje muwe wote wajaluo.
UHAYA unashamiri tff
Kwanza jamaa amesoma anaelimu nzuri tu aliyoipata pale udsm.
Kabla alikuwa katibu wa yanga pia alishafanya kazi na plan international pale makao makuu baada ya kurudi kutoka masomoni uiengereza
Tatizo nahisi jamaa atakuwa amebebwa sababu yeye na malinzi wote ni wahaya
U
kama ana vigezo stahiki, ndio akose kwa sababu tu ni Mhaya? Kwani alihamia kwenye kabila hilo kama angalau awajibishwe kwa maamuzi yake? Kosa lake nini?Kwanza jamaa amesoma anaelimu nzuri tu aliyoipata pale udsm.
Kabla alikuwa katibu wa yanga pia alishafanya kazi na plan international pale makao makuu baada ya kurudi kutoka masomoni uiengereza
Tatizo nahisi jamaa atakuwa amebebwa sababu yeye na malinzi wote ni wahaya
U
kama ana vigezo stahiki, ndio akose kwa sababu tu ni Mhaya? Kwani alihamia kwenye kabila hilo kama angalau awajibishwe kwa maamuzi yake? Kosa lake nini?
Kama nilivyoeleza kwenye hoja yangu. ' kama ana vigezo vyote'......... Imetokana na mchango wa aka2030 kwamba ana elimu nzuri. Tafsiri ya hilo ni kwamba anawazidi webgine. Sasa kama hanayo, au kama wanaomzidi elimu na uzoefu, hilo ni swala jengine kabisa. Lakini kunahitajika uyakini wa kauli hiyo kabla ya kutoa kauli yoyote.Mkuu believe in me mwesiga siyo best candidate, kuna wagombea wengine wenye elimu kubwa na experience kuliko mwesigwa lakini wameachwa. Jamaa ana degree moja wakati kuna watu wameachwa wana masters na experience kibao
Kama nilivyoeleza kwenye hoja yangu. ' kama ana vigezo vyote'......... Imetokana na mchango wa aka2030 kwamba ana elimu nzuri. Tafsiri ya hilo ni kwamba anawazidi webgine. Sasa kama hanayo, au kama wanaomzidi elimu na uzoefu, hilo ni swala jengine kabisa. Lakini kunahitajika uyakini wa kauli hiyo kabla ya kutoa kauli yoyote.
Kama ulifuatilia michango yangu kuhusu Malinzi, mimi ni mmojawapo wa wasiomkubali. Nilipata kuandika kwenye uzi wake mmoja kwamba mimi simshabikii na nikamwomba anishawishi nimwamini kupitia utendaji wake. Ila kwa hili sina hakika kama binafsi anastahiki lawama. Tusibiri tuone.Mkuu am sure of what am talking about. mwesiga ana bachelor ya international relation wakati wapinzani wake mfano Henry tandau yeye ana masters ya michezo na bonge la experience katika michezo. Can you convice me how mwesiga is the best candidate in that job?
yule anaehoji ukabila ndio mwiba kwenye babu dcKwa hiyo kama sifa wanazo wasipewe kwa sababu ya kabila zao??
Ina maana kazi ya kuteua watendaji imefanywa na Malinzi peke yake??
Huu mtazamo nahisi ni wa hatari sana...
Sifa kwanza kabila baadae. Hii nchi haina sheria inayozuia mtu kushika nafas endapo wa kabila lake ndo yuko juu. Kwahiyo mnataka kusema wahaya, wachaga na wanyakyusa wasiajiliwe tena kwa vile wana watu wengi serikalini na makampuni binafsi!! Mnaoingiza ukabila mnafikiria kwa kutumia makalio sio bure. Tuambieni huyu mtu hana sifa zinazotakiwa 1. 2. 3...., ishu ya kabila lake wala dini sio ya kuuliza huko ni kumnyanyasa mtu.