Mwezenu nina furaha!!!

.......Yaani nina furaha hadi nashindwa kula, nahisi tumbo limejaa.
Je umewahi kupata furaha ya jinsi hii?

Furaha ya kuwa mama au furaha ya kula mpaka kupitiliza?
 
.......Yaani nina furaha hadi nashindwa kula, nahisi tumbo limejaa.
Je umewahi kupata furaha ya jinsi hii?
tupunguzie nasi iyo furaha jamani kidogo angalau
 
kama hutojali
share na sisi hiyo furaha yako
uweze pata tips za kuwafurahisha wenzio lol

.......Nimepewa zawadi nzuri ambayo ilikuwa my dream kila siku.This is the best gift ever!!


share basi na sisi kilichokufurahisha na sisi tufurahi pamoja na wewe.........
Nimepewa zawadi nzuri ambayo ilikuwa my dream kila siku.This is the best gift ever!!
 
......natamani nikupunguzie shost, ila haigawanyiki.
jitahidi shoga si unajua tena ukishapata muwashawasha wa motomoto zen usizipate sasa unakufaje na kihoro ;lol!
natamanije nijue sasa
 
CUTE hbr yako binafsi? wataka raha au furaha?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…