Mwezenu nina furaha!!!

Mimi na Erotica tuna mkataba wa open marriage bana. Si unaona Erotica wenyewe mida hii yuko gesti wala hajaaga wala nini

Aiseee!! Hiyo nzuri sana, haya natangaza nia kwa mkaka yeyote
anayetaka open marriage ani-PM. Haina usumbufu!!
 
Last edited by a moderator:
...Hehehe nilikuja kwa speed kali sana ili kukupongeza....nilidhani umepata nanihii LOL!....Hongera zako...hakuna kitu kizuri duniani kama kuwa na furaha moyoni maana saa zote una tabasamu la nguvu....unaamka una furaha, siku nzima una furaha unapanda kitandani una furaha....Mambo ya kimaisha yanapokunyookea kwenye kila idara na wote uwapendao na walio karibu nawe wakiwa na furaha basi furaha yako huongezeka zaidi. Msalimie baby.
 
its good kua na furaha on a sunday...sa leo monday sijui bado una furahi au kibao kimegeuka
 
its good kua na furaha on a sunday...sa leo monday sijui bado una furahi au kibao kimegeuka

Hata mimi ningependa kujua kama ile furaha bado inaendelea..... klorokwini vipi wangu bado anaendelea kucheka cheka tu huyu mtu, hajafunguka?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…