Mwezi December ni mwezi wa kupasha viporo

Mwezi December ni mwezi wa kupasha viporo

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
Kwa utafiti wangu niliofanya nimegundua mwezi December ni mwezi wa ma-ex kupasha viporo

Ombi langu kwa jinsia ya kike mliobahatika kuolewa na wanaume wa mikoani na ukaishi huko mikoani chonde chonde achana basi na wapenzi wako wa zamani ,mnaebisha

December inakaribia unamuomba mmeo ruhusa ya kwenda kusalimia wazazi na muda huo huo una namba ya ex wako unamtafuta ety ukamtunuku umemiss sana

Kwa nini mahusiano ya mwanamke kwa ex wake hayafi?. Si wote lakini wanawake waliowengi hawaachi maex
 
Unaweza kaa naye ndani akaona umesinzia, akatoka nje pembeni ya ukuta akaliwa na House Boy!

Mwanaume, “Stay married to your missions” hawa wanawake ni wa kupuuza tu, wote ni washenzy.
 
Back
Top Bottom