Mwezi jana nilitembea na ndugu wa mke wangu ambaye pia kaolewa, alikuwa analipiza kisasi kwa mke wangu

Chai jaba
 
Huyo malaya tu hakujua kama anamfanyia madhambi mme wake....au kaachika wanawake malaya wanapenda kutetea umalaya wao kwa uwongo uwongo mwingi
 
Inatufundisha kuwa unachokipanda leo ndicho utakachokivuna siku zijazo.
Ukipanda mema utavuna mema, ukipanda ubaya utakuja kuvuna ubaya. Kwahiyo ngoma droo
Kumbuka huyu nae katembea na mume wamtu nae ajiandae kutombewa again fala sana
 
Hii riwaya yako inatufundisha nini kwenye mwezi huu mtukufu?
Kaka sijatunga story ni tukio la kweli sema nimeficha vitu vingi
Mlipima lakini au ulitembea naye ukijua yuko salama?maana inawezekana anajijua kuwa kaathirika kwahiyo lengo ni kukupakaza wewe akijua na mke naye ataathirika ili amuadhibu,be careful mkuu zinaa haijawahi kumuacha mtu salama...
Nilitumia mpira
 
Unampenda mkeo kweli.. kwanini uchepuke kutimiza revenge juu yake??

Mara mia ungechepuka na dem mwingine.. alafu hapo hata huyo mwanamke atakudharau vibaya mno maana umemuonesha udhaifu mkubwa mno.

Kaa ukijua ili revenge itimie ni mpaka ahakikishe mkeo amejua yani..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…