Mwezi jana nilitembea na ndugu wa mke wangu ambaye pia kaolewa, alikuwa analipiza kisasi kwa mke wangu

Huyo mwanamke mpumbavu kweli! anamkomoa dadake kumbe ndo ameliwa hivyo! daaah
 
unafikiria kupiga bao 4 ndio UMWAMBAFAI...........hata mashoga wanapiga...ila ni kwamba tu wanapenda kuliwa nyaa.......pumbafu wewe na huyo KAHABA mwenzio.......
 
hebu tuelezee maumbile yake yapoje bao nne sio mchezo
 
Nimeona profile picha yako wewe mzurii,, hivii wewe kweli hauna kinyongo na mke wangu wewe? na wewe uje kulipa kisasi!
 
Inatufundisha kuwa unachokipanda leo ndicho utakachokivuna siku zijazo.
Ukipanda mema utavuna mema, ukipanda ubaya utakuja kuvuna ubaya. Kwahiyo ngoma droo
Japo habari ya mtoa mada ni ya kipuuzi ila upande mwingine kweli nimajifunza malipo ni hapahapa duniani.
 
Nimeona profile picha yako wewe mzurii,, hivii wewe kweli hauna kinyongo na mke wangu wewe? na wewe uje kulipa kisasi!
 
Nimeona profile picha yako wewe mzurii,, hivii wewe kweli hauna kinyongo na mke wangu wewe? na wewe uje kulipa kisasi!
Khaa watu mmevurugwa kabisaa😀 unamtafutia vinyongo wife aisee shauri yako siku akikuacha ndiyo utajua umuhumu wake😀
 
Kaka sijatunga story ni tukio la kweli sema nimeficha vitu vingi
Iheanacho sasa hivi uko kwenye form sana mzee, kila ukijaribu unafunga goli...ila upepo unabadirika soon, wife akijua...nae atanipigia kukumbushia tena tukio lile la kijijini mwaka ule. 😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…