Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Watu mapema walianza kumwonya Dube Mpomelelo kuachana na hizi show za kiduanzi. Akawa mbishi.
Mtu akiwa kwenye mapenzi hasikii haoni. Huyu demu inasemekana. Wachezaji na viongozi wanapigiana pasi za upendo.
Yeye anachojali ni mkwanja tu. Ila anahusika sana kusambaza gundu kwa wachezaji na viongozi.
Kila kwenye matukio flani flani huenda akitafuta watu wa kuwaangusha.
Na hupata maana sisi wanaume ni dhaifu naye kaamua kuishi kwa style hii.