Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Taarifa anasomewa kwanza bwana ROSTAM AZIZI KUJUA KOLONI LAKE LA TANGANYIKA LINAMNUFAISHA VIPI NA NANI KAMWIBIAKwa kawaida, mwezi march ndio kipindi ambacho taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) hukabidhiwa kwa Rais.
Swali: March ya mwaka huu wa 2025, inaanza kuyoyoma,. Vipi taarifa ya CAG kwa mwaka huu inakabidhiwa lini kwa Raisi?
Mwenye majibu tafadhali ingawa hatutarajii jipya tofauti na miaka iliyopita zaidi tu ya kusikia madudu zaidi safari hii.
April sio ndio Bunge la Bajeti nalo huanza?Taarifa hutoka mwezi machi au mwanzoni mwanzoni mwa april.
Ukiona imefika tarehe 20 mwezi wa nne. Njoo nikupe milioni kumi.
Hilo nalo neno.Taarifa anasomewa kwanza bwana ROSTAM AZIZI KUJUA KOLONI LAKE LA TANGANYIKA LINAMNUFAISHA VIPI NA NANI KAMWIBIA
CAG mwaka huu hatachoma sana.Kwa kawaida, mwezi march ndio kipindi ambacho taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) hukabidhiwa kwa Rais.
Swali: March ya mwaka huu wa 2025, inaanza kuyoyoma,. Vipi taarifa ya CAG kwa mwaka huu inakabidhiwa lini kwa Raisi?
Mwenye majibu tafadhali ingawa hatutarajii jipya tofauti na miaka iliyopita zaidi tu ya kusikia madudu zaidi safari hii.
Niina wasiwasi kuna jambo/mambo yanaendelea kuhusu ripoti ya kutoka mwaka huu.CAG mwaka huu hatachoma sana.
Taarifa Zinakuwa Mbili YA CAG,PCCBKwa kawaida, mwezi march ndio kipindi ambacho taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) hukabidhiwa kwa Rais.
Swali: March ya mwaka huu wa 2025, inaanza kuyoyoma,. Vipi taarifa ya CAG kwa mwaka huu inakabidhiwa lini kwa Raisi?
Mwenye majibu tafadhali ingawa hatutarajii jipya tofauti na miaka iliyopita zaidi tu ya kusikia madudu zaidi safari hii.
Bila shaka hii itakuwa ni ripoti ya 2023/2024. Au nakosea?Taarifa Zinakuwa Mbili YA CAG,PCCB
Zote Zipo Zitapokelewa Tu
Maana Taarifa Hizo Lazima Zipokelewe Na Rais Tu Na Siyo Vinginevyo
Agiza nakuja kulipa.Inahaririwa kwanza, ikitoka kama ilivyo ni uozo kutoka juu mpaka chini.
Ndio hivo lazma CAG atoe ripoti kabla.April sio ndio Bunge la Bajeti nalo huanza?
Ndiyo Ukweli WenyeweBila shaka hii itakuwa ni ripoti ya 2023/2024. Au nakosea?
Kaangalie tbc muds huu, wanaongelea maongezeko ya bandari ya dar na tanga,Agiza nakuja kulipa.
Bandari na DP WORLD sijui kama yatakosekana.
Rais tu π€π€π€π€π€ Bwana rostam azizi unamwachia wapiTaarifa Zinakuwa Mbili YA CAG,PCCB
Zote Zipo Zitapokelewa Tu
Maana Taarifa Hizo Lazima Zipokelewe Na Rais Tu Na Siyo Vinginevyo
ππππππππππππππππWatu Wa Mifumo HaoRais tu π€π€π€π€π€ Bwana rostam azizi unamwachia wapi
π π π kwanza NchekeKwa kawaida, mwezi march ndio kipindi ambacho taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) hukabidhiwa kwa Rais.
Swali: March ya mwaka huu wa 2025, inaanza kuyoyoma,. Vipi taarifa ya CAG kwa mwaka huu inakabidhiwa lini kwa Raisi?
Mwenye majibu tafadhali ingawa hatutarajii jipya tofauti na miaka iliyopita zaidi tu ya kusikia madudu zaidi safari hii.
Hata ikitolewa haina maana yoyote wacha wasitoe kabisaKwa kawaida, mwezi march ndio kipindi ambacho taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) hukabidhiwa kwa Rais.