ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,752
hivi maana halisi ya ulokole au kuokoka???
Kosa ni la flora mbasha
Ww utakimbiaje nyumba uende hotel?
Km una hasira sn hana chumba au ondoka na familia yako yote.
Ni kweli hatukatai shetani ana deal na walioko kwny mstari.
christine kweli kuiacha nyumba kwenda kuishi kwingine ni kosa lakini hiyo haimfanyi mwanaume kufanya uzinzi,kitu gani kitatutenga na upendo wa Bwana ni shida,raha hakuna kabisa ni tamaa tu.
"uwe mwaminifu hadi kufa"
ulokole ni neno la mitaani ila kuokoka ni kuponywa kutoka kwenye hali ya kuangamia,mfano mtu anaweza kuokolewa mikononi mwa wabakaji.Hivyo wanadamu wote tumezaliwa katika dhambi na hukumu ya moto wa milele ilikuwa inatusubiri,hivyo Yesu Kristo wa Nazarethi akafa msalabani ili kila atakaye mwamini aokolewe na hukumu hiyo.
kwamaana halisi sasa katika ukristo kuokoka maana yake nikuacha dhambi kabisa,je nikweli katika hii dunia ya ukristo kuna walio okoka
Pamoja na yote
Sawa mwanaume nae kakosea bt mke ndo kaharibu kabisa kuondoka
Upendo wa Mungu ungekuwepo wasingekurupuka
Huyo wa kuondoka wala wa kuzini.
Coz maamuzi yenye hekima hutolewa Roho Mtakatifu
Ka' mchezo hakana mwenyewe kwa hiyo anasubiri 30 years au ataishinda kesi kama ile nyimbo yao "jipe moyo utayashinda....."
[/RIGHT]191]Flora kakimbia nyumba?..ndoa hizi balaa sana km sio mvumilivu.
kweli mtu kuacha asili yake ni ngumu,this dude alikuwa mchafu wa wanawake,cha pombe b4 hata kumuoa flora,flora akamshawishi aokoke kama kweli anataka kumuoa & thats wat the guy did,kumbe ilikua kiini macho,emmanuel hajaokoka huyo,i dnt get suprise kwa kubaka,ndoa za kulazimisha hizo
huyu shetani angekuwa mtu angewapigaje coz mnamsingiza sana
Ss nimeelewa somo alilotufundisha mtumishi mwalimu Christopher Mwakasege, kuwa Usimwambie mtu okoka ndio unioe au okoka nikuoe.
Coz atafanya hivyo ili kukufurahisha au kutimiza lengo bt deep inside hajamkubali Mungu.