Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Possibly flora alianza kuchepuka ulivotokea ugomvi akahamia hotelini na jamaa ndo akili ilivo fupi akarevenge kwa bwashee katika hali ya kawaida emanuel asingeweza kufanya hayo
ulokole ni neno la mitaani ila kuokoka ni kuponywa kutoka kwenye hali ya kuangamia,mfano mtu anaweza kuokolewa mikononi mwa wabakaji.Hivyo wanadamu wote tumezaliwa katika dhambi na hukumu ya moto wa milele ilikuwa inatusubiri,hivyo Yesu Kristo wa Nazarethi akafa msalabani ili kila atakaye mwamini aokolewe na hukumu hiyo.
kubakwa siku mbili?? kwa nini hiyo ya sebuleni ndo ingekua kubakwa hadi akasubiria na kwenye gari? alafu 17 years!! hainingii akilini bado.
aiseeee ko bidada nae alikuwa na michepuko
Emanuel mbasha ni mtumishi mwaminifu wa kanisa,shetani alimpitia kidogo
Shigongo kaziniii
aiseeee ko bidada nae alikuwa na michepuko
mkuu si umtaje tu nani huyo?Mkuu Bujibuji umenikumbusha kisa cha jamaa mmoja alijifanya mlokole mara asali Winners Chapel mara Agape huku akiwa front kwa mambo ya sadaka na michango. Salalee kumbe mzinzi vimada 8, EPA yumo, na siku hizi kaacha mke wa ndoa katia ndani Koku.
Duu kwa hiyo waliokufa kabla ya Yesu sasa hivi wako motoni??
na pia umaarufu koko unachangia,,,,,pesa mbuz zinawachanganya
Emanuel mbasha ni mtumishi mwaminifu wa kanisa,shetani alimpitia kidogo
Mkuu Bujibuji umenikumbusha kisa cha jamaa mmoja alijifanya mlokole mara asali Winners Chapel mara Agape huku akiwa front kwa mambo ya sadaka na michango. Salalee kumbe mzinzi vimada 8, EPA yumo, na siku hizi kaacha mke wa ndoa katia ndani Koku.
Bora aiaseeh, maana nilikuwa naionea wivu couple yao, yaan kulikuwa hakuna ata ugomvi, khaa walizidi sasa
kuna one day niliwaona kwenye tv show gan I dont remember utasema
mapenzi si ndo haya jaman
Possibly flora alianza kuchepuka ulivotokea ugomvi akahamia hotelini na jamaa ndo akili ilivo fupi akarevenge kwa bwashee katika hali ya kawaida emanuel asingeweza kufanya hayo
kubakwa siku mbili?? kwa nini hiyo ya sebuleni ndo ingekua kubakwa hadi akasubiria na kwenye gari? alafu 17 years!! hainingii akilini bado.
Something is going on,nakuunga mkono,angekua amebakwa angeshtaki since the first time