niliwaona sporah show,wao kila kitu ni kimoja,account zao,mpaka kwenye mitandao ya jamii wakasema unaweza ukafikri unachat na flora kumbe unachat na Emma,kumbe ndani ndoa yao ni imesambaratika.
Shigongo kaziniii
Halafu wote wameikimbia nyumba walojenga wenyewe,Flora hotelini,Emma sijui wapi?Yaani hatari tupuMasikini nawaonea huruma,kuna wanaume maagent wa lucifer jamani.
Halafu wote wameikimbia nyumba walojenga wenyewe,Flora hotelini,Emma sijui wapi?Yaani hatari tupu
Hapo alipo anajuta,ila ndo hivyo ni too late,shetani kishamuaibishaHuyo Emma anaogopa jela
Mmmh hivi ni waimbaji wa nyimbo za injili au bongofleva?
Huhitaji dini ili kuwa mtu mwema
Nawe uko kwenye ndoa au kinachokuchosha kitu gani?Hizi ndoa hizi jaman..... mi mpaka nachoka
Ajute wakati alifaidi kufungua kitu kipya? Mpaka daktari kaandika 'High Vigina Swab'.Hapo alipo anajuta,ila ndo hivyo ni too late,shetani kishamuaibisha
.Matokeo ya vipimo yalionyesha kuwa binti huyo alikuwa amefanya ngono kwa nguvu. Katika fomu hiyo ya uchunguzi, daktari aliandika ‘High vagina swab'.
Amempitia kwenda wapi!
....hahaa mkuu hizi terminology za kanda ya ziwa hivi ni ndagu au ndago? kwa hiyo jamaa anatafta utajiri.....? hahaaa huoni kuna sehem wanadai flora kahamia hoteli no kugegedwa jamaa akaona isiwe tabu kajisevia ndani kwa ndani.
Masikini nawaonea huruma,kuna wanaume maagent wa lucifer jamani.