Something is going on,nakuunga mkono,angekua amebakwa angeshtaki since the first time
ngojaaa aende jela akapokelewe na nyaparaaa wenzao wanaingiaaa na kesi kbwa yeye kesi ya kubaka lazima naye wambake nyambaffffOooh my God! Kama nilijua, Emma alionekana chekibobu tangu nimuonage! Dah, sijui atayaficha wapi yale mandevu yake! Mmmh, ila hizo kitu zinawaporomosha wengi!
Da Frola, one wrong doing kills million of good did. Poleka mwaego!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Amempitia kwenda wapi!
unamjua mbasa au unamsikia?kavumilia sana dada wa watu inshort,mbasha mchafu kuliko unavyomuona kwenye tv
ha ha ha, hii kali.......bora angehama chumba, ye kaamua kutimkia hotelini jamaa asilambe hata kwa kuvizia, ndo ivo tena full aibu.
kuacha nyumba yako (ndoa takatifu) na kwenda kuishi hotelini ni kosa kubwa kuliko hata kubaka.Sasa kosa la Flora ni nini?
una maana kulikuwa na kunogewa mule eeekubakwa siku mbili?? kwa nini hiyo ya sebuleni ndo ingekua kubakwa hadi akasubiria na kwenye gari? alafu 17 years!! hainingii akilini bado.
Mbaya ziadi ndoa hizi takatifu hazijafafanua kipengele hicho -- yaani kama kuna ugomvi kati ya wanandoa nini hatima ya Unyumba (tendo la ndoa) kisheria?Hivi Flora na Emmanuel nani alaumiwe kwanza? sasa mtu unakimbia nyumbani kwako unapanga hotelini mme atajua unalala na nani. yawezekana hata huyo Imma amekaa mda mwingi hata unyumba hapati then anaachiwa kigori ndani. lakini pengine tujiulize mtu unabakwa mara ya kwanza inanogewa tena siku ya ijumaa then mara ya 2 j2 ndo inakuwa noma? na je siyo kwamba thre is something unusual ambacho kinafichwa? kama hakuna someone behind the scene then hawa wa2 walikuwa wanachapana kwa mda mrefu. Lakini na wewe Imma kwanini uende kwa shemeji si bora ungehangaika na back namba 3 hapo home au kama hamna ungepitia mitaa ya ohio au corner bar ila yote 9 michepuko nomaaaaaaaaaaaa
taarifa pia haijasema kulikuwa na maumivu makali..Ndio mana ake, haiwezekani ukabakwa na umri huo tena mara mbili, aache uongo