Mwezi mchanga

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
3,580
Reaction score
7,203
Wadau ,
Nimekuwa najiuliza hivi kwanini vichaa wengi hata baadhi ya wagonjwa wa kifafa ukiwa mwezi Mchanga hucharuka kweli kweli?
 
hakika mkuuna mm nasubir jibu ili niweze ongeza knowledge yangu hiv mwez ukiwa mchanga unasababisha mechanisms gani ambzo huafect ubngo wa vichaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…