Mwezi mmoja sasa

Mnunulie Playstation 3 ili uicheze mwenyewe.., ha haa haaa

Seriously though wewe ndio unamjua vizuri kuliko sisi.., kwahiyo unajua anapenda nini, pia hongera kwa kukumbuka (hii tu itamfurahisha kwamba you care..) sababu wengine huwa wanasahau hata majina ya watoto wao let alone ni lini walianza mapenzi..

Hongera mkuu
 
kumbe mwezi mmoja..mmh haya hongera na kila la heri.
 
mkuu hongera lakini umewahi sana kujipa matumaini walau ungefanya hili jambo baada ya mwaka tungejua kweli raha au karaha ....
 
Mpende sikuzote na usifikirie kumsaliti... Ila mwezi mmoja ni mdogo sana kupima aman ya ndoa yako, najua bado mnaoneana aibu flani subiri mzoeane kama mwaka hv then urudi ku2juza maendeleo yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…