Mwezi mpevu sana huu

Joined
Aug 19, 2020
Posts
66
Reaction score
55
Ukipita huku unasikia ya timu kongwe zaidi katika taifa hili kuanza msimu mpya wa ligi bila jezi mpya, mara paaap uteuzi wa C.E.O mpya wa klabu fulani huko mjini waibua mzozo mkubwa huko twitani na hatimaye watu wenye uzito wao kuanza kuimbiana taarabu, hujakaa vizuri siku ya kwanza tu ya ufunguzi wa ligi kuu ya VPL marefa washaanza kuleta doubts juu ya uwezo wao wa kutafsiri sheria 17 za mchezo pendwa wa soka, yaaaani daaaaah ngoja tuone utaishaje huu mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…